Meya Boniphace Jacob amfungukia RC Makonda

Haidhuru, inawezekana mimi ndio Bashite mwenyewe, basi angalau hamu zenu zisiwazidi kiasi zikawaondoa akili na hata msiweze kufikiri. Mimi nimekuwa Bashite kuanzia majuzi baada ya wauza unga kudakwa, kabla ya hapo nilikuwa Mako. Nimeteuliwa na rais na yeye ndiye mwenye mamlaka ya kunitengua. Kwa nini hamumuulizi rais mnanifuata fuata mimi? Kwani waliodanganya kuhusu vyeti tuko wangapi? Kakangu Freeman Mbowe alikuwa hajui kama mimi ni Bshite kipindi akinilipia ada na kunisapoti? Alikuwa hajua kama mimi ni Bashite alipokuwa akinishawishi nijiunge na CHadema?

Niwe Bashite, niwe Makonda, roho ni ile ile, akili ni ile ile ni moto kwa kwenda mbele, wao wapiganie haki na mimi nipiganie haki, mwisho wa siku haki ya kweli itashinda, na itakayoshinda itajulikana. Watu mmezidiwa ashki mpaka mnataka kujaribu yanayowaondolea sifa ya jinsi zenu, kuweni na kiasi. Sishangai hata kidogo kwani hata walipoulizwa kati ya Baraba na Yesu nani asulubiwe, jibu lake ndilo mnalolijibu sasa, ninyi si wa mwanzo na wala hamuwezi kuwa wa mwisho. Ila kitu kimoja, kitu cha muhimu sana, mioyo yenu inajua ukweli, inafahamu kabisa ukweli, chuki, njaa na hasira zisizo sababu zinawafanya muzikane akili na nyoyo zenu na kuamua kushabikia uovu. Hakika mtalipwa mnachostahili kwa hilo.
Bashite tokea ulipozaliwa!!!!!
 
Bashite anajiona mungu mtu wa dar es salaam, wakati sisi wananchi tunamuona kama Kijana wa Vyeti feki ambavyo hataki kukanusha au kuthibitisha
atatueleza nini sasa wakati yeye amefoji vyeti vyake hivi akienda pale mlimani anaweza kuongea nini na wasomi na hata akija mtaani atatuambia nini tumuelewe wakati tupo wengi tumesoma lakini hatujapata kazi hadi leo yeye amenunua vyeti vya watu lakini ndiyo mjuaji kuliko yoyote!!!! ama kweli huyu Mungu acheni aitwe Mungu!!!
 
Sasa si ndio ukaripoti huko NECTA sasa, unasubiri nini kumdai Makonda akupe vyeti wakati mahali sahihi pa kwenda unapajua? Kama madai ya ukweli kwa nini yasipelekwe NECTA na hata kuripotiwa polisi?
Njia za kufikisha taarifa ziko nyingi na mojawapo ni mitandao ya kijamii. Ni jukumu sasa la mamlaka husika (Polisi, et. al.) kuzifanyia kazi tuhuma/taarifa hizi. Wananchi wametimiza wajibu wao; usiwape kazi isiyowahusu.
 
Bado huelewi. Muhasibu wa wilaya ni lazima awe mtaalamu wa fani hiyo. Hali kadhalika wafanyakazi wa kada nyingine. Mkuu wa Mkoa akijua kusoma na kuandika inatosha. Mkuu wa Mkoa hateuliwi kwa kuangalia vyeti. Paul Makonda aliyeteuliwa anafahamika unless huyo mwingine aje adai ni yeye kateuliwa. Sasa shida iko wapi? Kilichomuweka pale si cheti bali ni personality yake ambao wewe na mimi tunaijua na hata mahakamani wanaifahamu hiyo na ndio maana walipoenda kumshitaka summons alipelekewa yeye. Rais alimteua yeye hata kama ni bashite lakini ni yeye, mtu mwenye maamuzi na maono kama yale. Makonda si muajiriwa wa serikali
Kumbe ni mwajiriwa wa nani???? Hebu tutajie jina lake basi ni nani???? acha kutetea kitu usichokijua.Kwa hiyo kwenye zoezi la vyeti waliohukumiwa tuwafanyeje????
 
Nyie hamjujui magu hawezi kumtoa Daud pale kwa sababu ya maneno maneno.maana mnapomshambulia sana Mako ndo magu anajua kuna chuki binafsi na hajali maneno maneno.Tuendelee na tu mpaka pale mwenye nguvu atakapoamua maana haki ya mnyonge hiari ya mwenye nguvu na mwenye nguvu wetu hapendi mtu akasakamwa ndo afanye maamuzi tena yule aliyemteua yeye labda awe mtumishi wa umma wa mikono yake labda Bunge kishinikize kama lile la mlevi.nje hapo maneno yetu na ya wapinzani khaaaa tusahau kabisa
 
Nyie hamjujui magu hawezi kumtoa Daud pale kwa sababu ya maneno maneno.maana mnapomshambulia sana Mako ndo magu anajua kuna chuki binafsi na hajali maneno maneno.Tuendelee na tu mpaka pale mwenye nguvu atakapoamua maana haki ya mnyonge hiari ya mwenye nguvu na mwenye nguvu wetu hapendi mtu akasakamwa ndo afanye maamuzi tena yule aliyemteua yeye labda awe mtumishi wa umma wa mikono yake labda Bunge kishinikize kama lile la mlevi.nje hapo maneno yetu na ya wapinzani khaaaa tusahau kabisa
Kweli aisee ni Bashite mwenzie
 
mi nimesoma azania nmemaliza 1992.nikapata masters yangu...nimehusle sana.napambana na life mjini...
mtu mjingamjinga tu hana elimu,k.ilaza wa hovyo tu anaependa shortcut analeta ujuaji, na jeuri...ndomaana hana mtoto hadi leo..
kujipendekeza kwa viongoz kubaya sana..maana lazima uwe mmbeya...
laana ya kumpiga warioba itamtafuna sana huyu dogo wa 1981
 
Ni kweli barua hii ya Meya wa Ubungo imeegemea kwenye chuki na hasira aliyonayo kwa mheshimiwa mkuu wa DSM. LAKINI kama kweli hayo yaliyoandikwa pale ni kweli. Mkuu wa Kaya DSM unabidi ujiondoe tu hakuna namna kujifananisha na Mungu ni kosa Kubwa.

Ila Kama hivi na Yule aliyekuwa Mkurugenzi Kabwa aliyefariki si Huyu Bashite ndiye aliyemchomea utambi kwa JPM?

Ndiyo yeye wakati wa ufunguzi wa daraja la kigamboni. Ni zamu yake kutumbuliwa.

Au Mambo ya Ukabila yatachukua mkondo wake si unajua ni kijana wa mzee!!
 
Back
Top Bottom