methali na ulimwengu wa sasa

Scratch

Member
May 2, 2011
11
1
Methali: Aliye juu mngoje chini.
Je akigoma kushuka inakuwaje?
Badili hii kwa kiingereza; Mtoto wa nyoka ni nyoka.
 
Aliyeko juu mpandilie hukohuko maana ukingoja ashuke miguu itazama. Si unajua aliyenacho anaongezewa? Hivyo mambo ya kungoja yanaumiza matumbo!
 
kama kagoma kushuka ana lake huyo, ukimpandia itakuwa vita halafu matokeo yake wote mtadondoka na kuvunja visigino ha ha haaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom