Meseji kutoka muhimbili

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386
Madktari watarajiwa walivoandamana leo kudai haki zao
mabango.JPG
 
Sinag Man hujui ulisemalo maana ungepitia hapo ungejua nini kilikuwa kinaongelewa na watoto wale.
 
Poleni vijana. Gangamaleni tu, japo ni jukumu la wazazi kuwasomesha lakini mkikomaa walau mpate viji-slice vya keki hii ya taifa inayotengenezwa na wenye moyo na kuliwa na wenye meno.
 
Hawa wanaodai posho badala ya kudai vitendea kazi kwenye masomo yao huo ni ushawishi wa kijinga tu na jaziba

Hata ukipewa hivyo vitendea kazi kama huna amani ni kazi bure na kumbuka huwezi kuwa na amani kama una njaa!! Hawa vijana wanajifunza udaktari ni lazima wanajua wanadai nini!! Kuwatumia polisi kuzima malalamiko halali ya wananchi ni utawala wa kiwendawazimu which has a propensity of backfiring!
 
Hawa wanaodai posho badala ya kudai vitendea kazi kwenye masomo yao huo ni ushawishi wa kijinga tu na jaziba

Wewe sinag Man ni mtumwa! na mtumwa hajui zaidi ya kutumwa, hafikirii kuwa huru kwa namna yoyote, hata hivyo tutaikomboa nchi pamoja nawe!
 
Hawa wanaodai posho badala ya kudai vitendea kazi kwenye masomo yao huo ni ushawishi wa kijinga tu na jaziba

We kilaza sana!! Unakimbilia kuchangia kabla hujarelewa!!! Hawakuwa wanadai posho, bali walikuwa wanapinga ongezeko la posho za wabunge!!!

Acha ujinga wa kupinga posts kabla hujaelewa
 
Hata ukipewa hivyo vitendea kazi kama huna amani ni kazi bure na kumbuka huwezi kuwa na amani kama una njaa!! Hawa vijana wanajifunza udaktari ni lazima wanajua wanadai nini!! Kuwatumia polisi kuzima malalamiko halali ya wananchi ni utawala wa kiwendawazimu which has a propensity of backfiring!

Bila shaka hapa umemaanisha serikali ina kichwa cha mwendawazimu, iweje iwe na akili kama hizi, either wanawadharau wananchi waliowachagua au wanajua hawana la kuwafanya. Pole sana JK na serikali yako jua tu uvumilivu una mwisho na mwisho wake ni mbaya kwani haki siku zote itasimama
 
Hawa wanaodai posho badala ya kudai vitendea kazi kwenye masomo yao huo ni ushawishi wa kijinga tu na jaziba

Sinag Man, nadhani umetoa maoini bila kujua madai ya vijana hawa. Vijana hawa wasomi walikuwa wanadai haki yao ya kikatiba ya kuwa na serikali yao ya wanafunzi itakayowapa uwezo wakutetea ustawi wa mafunzo yao na wala si posho. Sasa wewe umekurupuka kutoa maoni bila ya kujua. Kilelel cha ujinga ni kutotafuta kujua na kupayuka ukidhani unajua!
 
Vijana msikate tamaa ktk kutetea haki zenu kwani hata wakiwajia kwa bunduki na mabomu Mungu ndiye atakaewasimamia na kuwatetea
 
Hawa wanaodai posho badala ya kudai vitendea kazi kwenye masomo yao huo ni ushawishi wa kijinga tu na jaziba

upupu mtupu. jaribu kupeleleza kabla huja comment. pale muhas kuna ukandamizaji mkubwa hata hao walio graduate karibu wanafunzi 66 walikuwa wasigraduate watu walipachimba na jana wamegraduate.

kwa taarifa yako hata malecture wamechoshwa na ukandamizaji unaofanywa na management dhidi ya wanafunzi na jana walikuwa wanashangilia jinsi vijana walivyokuwa wanapadigi.
 
Back
Top Bottom