Mojay Member Oct 22, 2015 38 19 May 24, 2022 #1 Imported from japan Cc 1790 Yom 2008 Price 19,500,000 Call 0767 507487 Only chasis no.
Lee JF-Expert Member Jul 31, 2013 43,906 150,216 May 24, 2022 #2 Hapo kwenye price mkuu...post ya jiji wanasema 29.5M wewe hapo juu 19.5
ILISACHA JF-Expert Member Oct 29, 2019 1,982 3,525 May 24, 2022 #3 Lee said: Hapo kwenye price mkuu...post ya jiji wanasema 29.5M wewe hapo juu 19.5 Click to expand... Mi mwenyewe nashangaa hiyo bei mbona bure kabisa
Lee said: Hapo kwenye price mkuu...post ya jiji wanasema 29.5M wewe hapo juu 19.5 Click to expand... Mi mwenyewe nashangaa hiyo bei mbona bure kabisa
High Vampire JF-Expert Member Nov 17, 2012 2,915 2,086 May 24, 2022 #4 Ukiagiza mwenyewe haifiki hiyo Bei Sent using Jamii Forums mobile app
Nations JF-Expert Member May 4, 2022 4,892 16,992 May 25, 2022 #5 Lee said: Hapo kwenye price mkuu...post ya jiji wanasema 29.5M wewe hapo juu 19.5 Click to expand... Jamaa kaandika bei harisi, hizo bei za 29.5 kwa hizi gari upigaji wa madalali wetu
Lee said: Hapo kwenye price mkuu...post ya jiji wanasema 29.5M wewe hapo juu 19.5 Click to expand... Jamaa kaandika bei harisi, hizo bei za 29.5 kwa hizi gari upigaji wa madalali wetu