Merry christmass TAnesco & Happy new year

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,923
2,003
Ninakupenda sana na kukuhitaji kila wakati,ingawa wewe unihitaji kihivyo,ninakulipa kwa wakati kukuonyesha mimi ninakujari sana sijari kama utanilipa kwa wakati,mwaka mzima ninavumulia mateso yako unajua sina ujanja wa kuachana na wewe,ueleweki mchana uuleweki usiku penzi lako aliniweki kwenye mwanga niutakao,mda wowote ni maumivu kwakwo nayapata,umejaa maneno kuliko vitendo ninatamani nkakushitaki mahali lakini una ndugu maalumu niwajuao maana kila siku unapewa ndugu wapya wa kukusimamia tabia yako lakini ubadiliki.Kweli tangu ujifunze kukatika hadi msimamizi wako ewura unamkatia hivi tangu uondoke asubuhi ndio unarudi sa hizi saa Tisa usiku na mi navyokupenda na kukuhitaji siwezi kukuacha kukutumia.Tanesco nakutakia merry christmass and happy new yeat
 
Pongezi za dhati ziifikie serikali yetu hii pendwa, maake tangu wavunje kamati ya Tanesco iliyokuwepo, nowdays umeme kama wote tena nchi nzima. Tumshukuru Mama
 
Back
Top Bottom