Members please help me secure a micro loan

Breacher

Member
Jan 10, 2011
10
0
Nahitaji mkopo wa masharti nafuu sana wa shilling million Kumi. sina Fixed assets kama collateral ila nalipwa mshahara wa 1.5 M per month net. I want to open a very small business opportunity to get even 400,000 per month net profit. naomba kujua kama kuna bank ambayo inaweza kunisaidia katika hilo
mchango wenu utakuwa ni mzuri sana. ninacho taka ni unsecured loan 10 MTZS.
 
Mwajiri wako anakubali kuingia contract na Bank? Awe guarantor wako. then Nafahamu Bank inaweza kukopesha......
 
Back
Top Bottom