Membe!!!na ngonjera ya:"Nitawalipua wote wanaojificha na kuharibu nchi"

Feb 9, 2012
65
15
Jamani wana JF leo Membe atakuwa itv kipindi cha dk45 so tusikose saa tatu usiku maana ktk highlight anasema eti anawajua wanaofanya njama kuiharibu nchi na siku moja atawalipua,lini??au ndo zile ngonjera zao za nursery school zinazosahaulika na watoto kila wakijaribu kuimba
 
Mkuu naomba ufuatilie atakachosema ili utupe updates na sisi tusiokuwa huko bongo tujue atakachosema.
 
Kipindi cha DK 45 huwa kinarushwa JUMATATU saa 3 usiku, kwani kimeishabadilishwa na kuanza kurushwa JUMAPILI?
 
Back
Top Bottom