FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,883
- 109,212
faiza foxy unaonekana ni mshamba wa elimu yaani labda wewe kwenu ndiyo wa kwanza kusoma angalau varsity level..nnai kakwakmbia tunataka maneno kama hayo hapa kama vile unaandika academic paper?
Labda hujaelewa ni nani alianza kukurupuka kwa Kiingereza na hiyo ilikuwa tu, kumjulisha tupo tunaokijuwa hicho kiingereza kinyume nyume, nakuhakikishia, nilipiga "A" kwenye Kiingereza toka naanza kusoma mpaka namaliza A level na nyumbani kwetu hatuongei kabisa kiingereza ni marufuku. Hiyo ilikuwa kumpiga full stop aliyeanza kuja kwa kiingereza wakati wengi wetu humu kiswahili ndio lugha ya mwanzo. Si unaona akarukia eti kiingereza cha kuunga unga kwenye diksheneri. Ananchekesha!