Hypershulemia
JF-Expert Member
- May 19, 2021
- 216
- 704
Meli ya Jeshi la Wanamaji la Urusi "Admiral Gorshkov" yenye vichwa vya nyuklia sasa inaelekea Marekani.
Hiyo itakuwa wameifanya kuwa meli ya uvuvi. Huko inafanya uvuvi haramu wala usijali.Meli ya Jeshi la Wanamaji la Urusi "Admiral Gorshkov" yenye vichwa vya nyuklia sasa inaelekea Marekani.
View attachment 2494461
Supa-pawa ana mikwara kweli kweli....hii SMO itamfilisi kabisa.Hana kingine zaidi ya Nuclear.
Bora yeye ananyuklia wewe una mapumbu tuHana kingine zaidi ya Nuclear.
Hukoo imeenda kufanya Nini?Ipo kwenye Maji ya kimataifa.. Hawez kuingia USA.
Hakuna vita itapiganwa kati ya US na RUSSIA.
Period
Huko ni free ,Hukoo imeenda kufanya Nini?