Medical checkup!!

introvert

JF-Expert Member
Sep 21, 2010
1,372
2,416
Tafadhali naomba nielimishwe.
Hapa kwetu Tanzania (public hospitals), mtu akitaka afanye checkup ya mwili wake inabidi apitie procedure zipi? Mfano checkup ya figo, maini, moyo, cancer na vitu vingine kama hivyo. Maana mara nyingi checkup inaishia kwenye malaria, typhoid na HIV. Hivi vipimo vya haya mambo mengine inakuaje? Mtu unaweza kujiona mzima kesho yake unakutwa unaumwa figo na unahitaji mpya.
 
hospitali nyingi kubwa za serikali na binafsi zinafanya kazi hyo
 
Back
Top Bottom