anjo JF-Expert Member Jun 13, 2009 299 97 Nov 29, 2014 #1 Pamoja na kwamba ni tumefurahi kuwa Rais amerudi salama; nimeona si busara kuhamia uwanja wa ndege bila kujali kinachoendelea Dodoma.
Pamoja na kwamba ni tumefurahi kuwa Rais amerudi salama; nimeona si busara kuhamia uwanja wa ndege bila kujali kinachoendelea Dodoma.
M Mtanzania Ril Member Mar 8, 2014 15 4 Nov 29, 2014 #3 Kwahiyo cku hizi saratani ndio tezi dume?jamani mi simuelewi kabisa mista prezidenti
M Mkundwa Member Mar 7, 2011 22 13 Nov 29, 2014 #4 jana umeme wamekata, leo tumelazishwa kusikiliza habari ugonjwa. kisa tusijue kinachoendelea bungeni
O otorokoko JF-Expert Member Feb 2, 2012 2,437 154 Nov 29, 2014 #5 Huyu profesa anatuzingua sisi tunataka kuangaliahatima ya majambazi escrow
P p84 Member Jan 9, 2014 26 8 Nov 29, 2014 #6 Hivi ni kweli kuwa issue muhimu kwa mustakabali wa taifa sahivi ni rais kuzumngumzia storia ya ugonjwa wake?
Hivi ni kweli kuwa issue muhimu kwa mustakabali wa taifa sahivi ni rais kuzumngumzia storia ya ugonjwa wake?