Mechi ya kirafiki na eagle sc yaonyesha kuimarika kwa yanga

njaakalihatari

JF-Expert Member
Feb 12, 2019
4,084
8,663
Nimefanikiwa kuona clips za mchezo wa kirafiki kati ya yanga na eagle sc inayoshiriki ligi daraja la nne mkoa wa dsm

Yanga walicheza poa sana ,low blocks,high pressing na walikuwa wepesi kuwasoma wapinzani wao

Kwa jinsi walivyocheza sioni ni kwa jinsi gani wasifike nusu fainali ya champions league

Matokeo ni yanga 4 eagles sc 1 wafungaji ni bacca,lomalisa na mayele akatetema mara mbili
 
Sisi ndio yanga ni mwendo wa kutupia na hapo hatujatumia figusu za nje ya uwanja(ushirikina)
 
Nimefanikiwa kuona clips za mchezo wa kirafiki kati ya yanga na eagle sc inayoshiriki ligi daraja la nne mkoa wa dsm

Yanga walicheza poa sana ,low blocks,high pressing na walikuwa wepesi kuwasoma wapinzani wao

Kwa jinsi walivyocheza sioni ni kwa jinsi gani wasifike nusu fainali ya champions league

Matokeo ni yanga 4 eagles sc 1 wafungaji ni bacca,lomalisa na mayele akatetema mara mbili

Yaani team Ya NBC inaenda kucheza na Daraja la 4 na kujisifia? Kwa nini wasiwaalike Viper?
 
Eagle inayofungwa na Dar city goli 5.
Mtu kawaita kigambonino Kutest mitambo. Level na Quality ya Eagle ht timu za mtaani kule Ubungo hawazifungi.
 
Match ilikuwa tough sana eagle sc hata huko daraja la nne wanasumbua sana
Hapo yanga hawakupitia geti lisiloruhusiwa wangefanya hivyo jamaa wangekula kumi
Ingekua balaa zito na hapo mayele hakushika nyavu za goal angeshika je?ingekua ni zahama
 
Nimefanikiwa kuona clips za mchezo wa kirafiki kati ya yanga na eagle sc inayoshiriki ligi daraja la nne mkoa wa dsm

Yanga walicheza poa sana ,low blocks,high pressing na walikuwa wepesi kuwasoma wapinzani wao

Kwa jinsi walivyocheza sioni ni kwa jinsi gani wasifike nusu fainali ya champions league

Matokeo ni yanga 4 eagles sc 1 wafungaji ni bacca,lomalisa na mayele akatetema mara mbili
Timu inayocheza ligi daraja la 4 ndio kipimo dhidi ya timu inayocheza CAF champions league na kuisifia kuwa imeimarika! Acha hizo mkuu.

Vv
 
Ukicheza high press that means high defensive line so haiwezi tena kuwa deep block.
Huyo jamaa alikuwa anajiropokea tu haelewi anachokizungumza..haahaa. Ametoka kumsiliza mchambuzi kanjanja privaldinho then kayabeba kuja kuyaleta JF
 
Back
Top Bottom