mdomo unajenga

Bellino

Member
Jan 29, 2012
65
10
iko hivi tuna mtafuta tajiri wa wote jf. cha kufanya rply porojo za mtu kwa kumshusha chini kwa gharama za mdomo..
naanza

nina mpango wa kujenga barabara toka bongo hadi zenji na nitakuwa napita mwenyewe..na hummer yangu..hayo ni mafanikio baada ya kuuza ukumbi mmoja wa mieleka kwa mmiliki wa wwe..
 
Huu ni utoto!

nadhani mods wanatakiwa waashauri kuwepo kwa jukwaa la watoto..! nadhani halipo ndio maana hawajui pakwenda...! hebu kumbuka kulala mchana kwanza masaa mawili kabla hujaanza kusend thread
 
kwetu ukizoea kulala kama mazoea yako watakugonga mchana kweupee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom