Mdee: Ni Enzi za 0 na 1

Ng'wanangwa

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
10,827
4,172
Asema CCM bado wanazani Watanzania bado wako na fikra za ki-analojia ambapo huwa ni vigumu kupima wapi ni 0 na wapi ni 1. Asisitiza hakuna nidhamu ya kinafiki bungeni. Kama jambo lina status ya 0(siyo) na litamkwe siyo, kama lina status ya 1(ndiyo) na litamkwe ndiyo.

my take: naunga mkono hoja. enzi za kuzungushia (antena) mjini zimeshapita. CCM someni alama na mbadilike. au itakula kwenu soon.

Tusubiri ushahidi wa Mh. Lema.

source: Majira
 
Asema CCM bado wanazani Watanzania bado wako na fikra za ki-analojia ambapo huwa ni vigumu kupima wapi ni 0 na wapi ni 1. Asisitiza hakuna nidhamu ya kinafiki bungeni. Kama jambo lina status ya 0(siyo) na litamkwe siyo, kama lina status ya 1(ndiyo) na litamkwe ndiyo.

Tusubiri ushahidi wa Mh. Lema.

source: Majira
Huyu dada nampenda kwa ujasili wake ananitamanisha na mimi niingie kwenye siasa.
 
mdee tuko nyuma yako uko sahihi kabisaaa hiyo mizee ya ccm minafiki saaana tu inapenda kutukuzwa na kusifiwa tu hata km yanaibaa
 
mdee tuko nyuma yako uko sahihi kabisaaa hiyo mizee ya ccm minafiki saaana tu inapenda kutukuzwa na kusifiwa tu hata km yanaibaa
Hayo mambo ya kulindana na heshima za kinafiki ndo yametufikisha hapa tulipo. HAYO MAZEE YA CCM NAOMBA NIYAFANANISHE NA MASHETANI
 
Ccm bado tu wamebakia wakiienzi misemo yao ya kale.
Eti aliepo juu msubiri chini; nani kawaambia atashuka? Dawa ya kumaliza tatizo ni kumfuata huko huko juu.
Eti 'mtu mzima dawa' kama angekuwa dawa kweli basi Mubarak angeitibu Misri.
.
 
yani halima mdee hata mimi namkubali sana na ndo maana nililinda kura zake pale orstabay shule ya msingi mpaka kikaeleweka tukiwa naye dada wa watu akulala siku hiyo mida ikafika ccm wakaleta misanduku yao tukagoma isiingie ndani ya chumba kilichikuwa kimehifadhi masanduku ya kura ilikuwa mziki siku hiyo usiku acheni tu wana jf yule dada ashushe vitu bungeni
 
Sio mizee tuu! hata vijana wa chama bado wanakuwa na mawazo mgando tuu! sijajua tatizo ni nini!
 
Mdee anasema hiki ni kizazi cha digatal na siyo analogue! Ni mpiganaji wa ukweli asiye ogopa.
 
Kama ambavyo vyombo vya habari vinavyotangaza kuwa mapinduzi ya Misri yameletwa na " Facebook generation" ndivyo vivyo hivyo itakavyokuwa hapa Bongo, huu ni wakati wa facebook, twitter vinginevyo ule wakti wa kubook line shirka la simu umekwisha! nasi tutatengeneza " Tahrir square yetu pale mnazi mmoja, yaani naiota siku hiyo yaja tena kwa kasi sana!
 
kizazi cha mashoga na wasagaji nadhani ndio alikuwa anamaanisha.
 
CCM very conservative kuna watu ilibidi wawe wanakula pension kwa sasa ila bado wamo tuu na akili zao mgando
 
HALIMA dada yangu i love you sor much, wewe ni mfano wa kuigwa kwa akina dada wengi na wanasiasa wenzio, nakuamini sana na nakuombea maisha marefu mchango wako tunautambua na pia tunauheshim sana, endelea hivyo hivyo mdogo wangu time will tell them
 
mdee tuko nyuma yako uko sahihi kabisaaa hiyo mizee ya ccm minafiki saaana tu inapenda kutukuzwa na kusifiwa tu hata km yanaibaa
Bega kwa bega ndiyo mtindo wa kisasa!hata mhayati kenyatta wa kenya alisisitiza hilo kwa nguvu zake zote!tusiwe nyuma yake!!
 
CCM bado wanatumia santuri, wengine tupo na blu ray.

hahaa umenikumbusha kijijini kwetu iringa dingi ana player linarindimisha santuri mwanzo mwisho....hahaaa nimecheka sana mimi nimecheka mimi
 
Back
Top Bottom