Mdahalo wa Katiba (UDASA) kupitia Star TV - Agosti 3, 2014

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,242
103,943
Mwana UKAWA na wakili msomi Kamanda Mh.Tundu Lissu atakuwa live Star Tv kuanzia saa 8 mchana katika mdahalo wa katiba uliondaliwa na UDASA.

Atakuwepo pia Dr. Kitila kama mwana UDASA na upande wa CCM atakuwepo Mh. Wassira.

My Take:
Wazalendo jitokezeni kumuunga mkono Tundu Lissu na wazalendo wengine
Kama ilivyolipotiwa hapo mwanzo kuwa chama cha mapinduzi ccm kina mpango kabambe wa kupeleka watu wa kukodi kwenda kumzomea mnadhimu wa kambi ya upinzani bungeni na mjumbe wa UKAWA kwenye mdahalo hapa NKURUMAH HALL. hizi ni picha zikionyesha mabasi ya UDA yakishusha vijana hapa chuo kikuuu maeneo ya Utawala. Ntaendelea kuwapa updates!!!
 
Msije anza kuzomea zomea sasa maana amkawii jamaa wa Bunda akianza vijembe mnaanza maana atakuwa anasaidiwa na Nape pia mtulie msikilize mambo na pia msikilize na Tundu Lissu
 
Msije anza kuzomea zomea sasa maana amkawii jamaa wa Bunda akianza vijembe mnaanza maana atakuwa anasaidiwa na Nape pia mtulie msikilize mambo na pia msikilize na Tundu Lissu

Watu wa kirap utumbo kwanini wasizomewe. Hacheleweshwi mtu!
 
Safi sana kwakutupa habari tupo pamoja tutampa ushirikiano mwanaharakati wa ukweli Tundu.intaraham watakuja na umbumbumbu wao na ujinga Wakuwabeba mafisadi wakati wao wanateseka na minyoo
 
Upande wa Interahamwe team itakuwa nawachezaji 3 dhidi ya mwana Ukawa Tundu lisu,tulio mbali tutahudhiria kwenye Tv kumuunga mkono mzalendo mwenzetu Lisu
 
Mwana UKAWA na wakili msomi Kamanda Mh.Tundu Lisu atakuwa live Star Tv kuanzia saa 8 katika mdahalo wa katiba uliondaliwa na UDASA.Atakuwepo pia Dr.Kitila kama mwana UDASA na upande wa Intarahamwe atakuwepo Mh.Wasira.My Take:Wazalendo jitokezeni kumuunga mkono Tundu Lisu na wazalendo wengine

Tundu Lissu ni mzalendo wa kweli, maana siku ya jana tarehe 2 Agost 2014 alikuwepo katika Press Conferance ya UKAWA pale HQ ya Chadema, saa nane akawepo Tena pale Ubungo Plaza katika kongamano la TLS na leo yupo na UDASA. Asanteni watu wa Singida kutuletea mzalendo na mpambanaji wakili mwanasheria nguli na msomi Tundu Antipasi Mughwayi Lissu.
 
hivi mbona tundu lissu haambatani na mbowe kwenye ukawa? au ndo keshaanza kupotezewa.
 
Tundu Lissu ni mzalendo wa kweli, maana siku ya jana tarehe 2 Agost 2014 alikuwepo katika Press Conferance ya UKAWA pale HQ ya Chadema, saa nane akawepo Tena pale Ubungo Plaza katika kongamano la TLS na leo yupo na UDASA. Asanteni watu wa Singida kutuletea mzalendo na mpambanaji wakili mwanasheria nguli na msomi Tundu Antipasi Mughwayi Lissu.

Ndo uzalendo wenyewe huo?
 
Upande wa Interahamwe team itakuwa nawachezaji 3 dhidi ya mwana Ukawa Tundu lisu,tulio mbali tutahudhiria kwenye Tv kumuunga mkono mzalendo mwenzetu Lisu

umesahau kuwa ni juzi tu WASIRA aliwachachafia UKAWA watatu akiwemo LISSU, leo atakuwa na jipya gani mbele ya Wasira?
 
mwana ukawa na wakili msomi kamanda mh.tundu lisu atakuwa live star tv kuanzia saa 8 katika mdahalo wa katiba uliondaliwa na udasa.atakuwepo pia dr.kitila kama mwana udasa na upande wa intarahamwe atakuwepo mh.wasira.my take:wazalendo jitokezeni kumuunga mkono tundu lisu na wazalendo wengine

lissu ni jembe huwezi amini,wasira hajui siasa bali ni jazba tu.hawa wazee sujui wanasubiri nini kustaafu?wanabana nafasi za watu tu
 
Ukitaka kumua nyani usimuangalie usoni. CCM wanafikiri sura ya Wassira itamponya! Tundu Lissu usimuangalie Wassira usoni maana unaweza kuingiwa na huruma.

BTW hivi msimamo wa ACT kuhusu katiba mpya ni upi Dr Mkumbo?
 
LISSU habebeki. Yeye aendelee tu kula laana ya kumtukana baba wa taifa.
 
lissu ni jembe huwezi amini,wasira hajui siasa bali ni jazba tu.hawa wazee sujui wanasubiri nini kustaafu?wanabana nafasi za watu tu

Wasira mnamjua sana, kusema sema hakuwezi kumdhoofisha hata chembe, siku kawachachafya UKAWA watatu.
 
Back
Top Bottom