Wasalamu wana jf!
Mdahalo mwingine unataraji kufanyika Jumamos hii tar 27, vyama vitatu CCM,CDM na CUF, wazungumzaji wakuu Atakuwepo Mh Mabere Marando, Nape na mmoja Wa Cuf, mwenyekiti atakuwa Rose Mwakitwange.Utarushwa moja kwa moja na Kituo cha star tv.Source; star tv.