mfianchi
Platinum Member
- Jul 1, 2009
- 11,855
- 8,253
teh teh teheeeeeeeee we acha tu hii lugha ya mama imekuwa inatupa taabu wa TZ na kututia aibu,dawa ni kukazana kuijua kwa kusoma,kuzungumza na kuandika,pale lugha ya kiingereza inapotumika wengi wa wa TZ hulowa kama vile tumenyeshewa na mvua na hata kama unaelewa ni kitu gani kinatakiwa ,imbombo inakuwa sasa pale unapotakiwa kujieleza lol kijasho chembamba kinatoka na kutamani ardhi ipasuke,jamani tuanze zile shule za akina Maimuna,tutamudu tu,na sasa ndo hao Wa K na W Ug wanakuja wasiwasi wangu tutaishia kuwa ma cleaner na wapika chai au maderevaWabongo kwa ujumla tuna akili sana basi tu kiingereza kinatutia aibu. Safi sana binti.