Mbona kimya??? wa zamani hayupo aliyepo ni Ag.
Tatizo nini?? au hakuna mtu aliye qualify??
anakuhusu nini kwani umeme kwako umekatika????? tuko very busy na mambo maandalizi ya uchaguzi na budget bado haijakaa sawa,
thanks 4 concern nakumbuka saana
wako
???????????????????
Mafisadi wamemzonga Jakaya kuwa amrudishe Dr.Rashid kama MD ili waendelee kuila nchi na kwavile muungwana hawezi kuwapinga anashindwa kufanya maamuzi ambayo kwakweli si magumu!! Dr. Rashid has lost credibility and I am even surprised as to the reason of retaining him as Chairman of the Capital Markets and Securities Authority; no wonder our stock exchange is not performing as expected! Stock exchanges are sensitive to the credibility of the people who regulate them.
anakuhusu nini kwani umeme kwako umekatika????? tuko very busy na mambo maandalizi ya uchaguzi na budget bado haijakaa sawa,
thanks 4 concern nakumbuka saana
wako
???????????????????
Jamaa si anatakiwa awe lupango saa hizi na chenge kusuhu radar?
kaka watu wana roho mbaya kushinda nyoka wamejaa chuki,majungu,fitina,hasadi na uzandiki tuu.tusiseme bila kuangalia historia na vikwazo katika utekelezaji wa majukumu ya watu. Kuna mamnbo yako collective na yapo mambo ambayo yanahitaji tu mtu mzima kuyakubali. Tusikimbilie kuchamba watu kama karatasi ya ****** tuangalie pia manasibu yanayokuta watu, forces wanakumbana nazo na nini walichosaidia. Bila research hatuwezi tu kuhukumu watu.; tanesco ya rashid ina nafuu zaidi kuliko ile ya kishenzi ya management ya afrika kusini ambayo iliacha robo tatu ya uwezo wa tanesco wa kufua umeme katika mashaka makubwa.anayeweza kuona, aone si lazima kuwa na malaika ila ni lazima kuwa na watu wanaojali kufanyakazi zao japo wanapambana na wanasiasa katika kutekeleza kazi za kitaaluma. Inafaa tukumbuke kwamba uchafu uliopo tanesco hauwezi kuondolewa kwa mara moja sivyo utavunja kila kitu. Lakini mtu unaona taratibu vishoka wanaondoka na kuna nafuu fulani ambapo tukikaza nia tunaweza kuliweka katika mazingira mazuri zaidi.
Lukwangule
Hivi 'appointing authority' ya MD wa TANESCO ni nani ?
unajua tulioaplai ni wengi sana na wote tuna sifa,na wote ni 'jamaa zake'!mwenye nchi 'amestalk'
wewe ni mahakama? au SFO? NI VYEMA TUKAFUATA UTAWALA WA SHERIA
Mkataba wake umeishaWhat happen to Dr Idrisa Rashid..former Govenor.
wewe ni mahakama? au SFO? NI VYEMA TUKAFUATA UTAWALA WA SHERIA