Mchungaji Getrude Rwakatare amrithi marehemu Salome Mbatia

Jamani kwa sasa anajirusha na yule aliyekuwa mwenye Silent Club pale Mwenge ambaye pia ni muumini mmojawapo wa kanisa lake!
Fred Mutta or Rugemalira nishasahau jina
 
Alie kuwa nacho ataongezewa, na asiekuwa nacho basi ata icho kidogo alicho nacho atanyang"anya, io ndo principle ya ubepari!!
 
Haya sasa kama alikuwa ni mcha Mungu wa kweli basi anapaswa kuamua moja ama kwenda kuwatetea watanzania ndani ya Bunge ama kukitetea chama chake bungeni kwa kutumia ile kanuni ya nidhamu ya chama.

Duuh, sasa hapa kuna funzo la kujifunza ni kwa nini kila mwenye investment anataka kwenda dodoma? hivi huyu mama hatosheki na kumtumikia Mungu wake huyo?

Aache kuwa mkuu wa kanisa lake ili aweze kuondoa confict of interest kati yake binana kanisa lake na pia na bunge.
 
Wasiwasi wangu ni jinsi atakavyoshirki kwenye maamuzi ya "UWAJIBIKAJI WA PAMOJA" hata kama ni "MZIGO KWA WATz". Dini na Siasa siku zote ni vitu visivyochangamana. Siasa ni Sera,Mikakati n.k. wakati DINI ni Imani.
 
BTW

keshaapishwa so its an open season hivyo ni public figure na hatokuwa immune mpaka hapo atakapo achia ngazi after all thats the price to pay in Politics
 
The next question ni je huyu mama RWAKATARE hatotumia nafasi yake kama mchungaji kundeleza UDINI kwenye mamabo ya kiserikali?

Je SHEIKH MBUKUZI au PONDA ISSA PONDA au SHEIKH BAWAZIR nao wakiteuliwa JF itakuwa kimya namna hii?


Inamaana kulikuwa hakuna akinamama wengine ambao wnanafasi ya kielimu na kadhalika mpaka ateuliwe huyu PADRE?

Something is wrong with our country na hasa pale tunapoteua ma religious fanatics ndani ya Serikali

Hii inatisha na nasubiri kwa hamu nakala ya MWNAKIJIJI kuhusu hili

Hon.Rev.Dr.Getrude Pang'alile (Lwakatare )ni mzaliwa wa kijiji cha Mchombe,Mngeta wilayani Kilombero,huyu ni mndamba kwa kabila na ameolewa na Mhaya(What a combination!).

Dr.Lwakatare mwana Morogoro original Mwaka 2005 aliingia ktk kinyang'anyiro cha kuisaka nafasi ya viti maalum ktk mkoa wake wa asili bahati mbaya alijikuta anakuwa ni mtu wa tatu nyuma ya Dr.Lucy Nkya na Dr.Ishengoma wana Morogoro chipolopolo.

Kilichomuangusha huyu mama mkoani kwake ni kuamini kuwa wapambe wake akina Mama Kanali I.Mwisongo ni watu wa kuaminika ktk kampeni zake.

By then takrima ilikuwepo na mama hakuonyesha ushirikiano ulio wazi kwa wenye kura zao ,ilipofika siku akajikuta anadondoka vibaya huku Mchaga na Mhaya wakiibuka kidedea tena kwa usaidizi mkubwa wa mama Kanali Mwisongo na wagonga urimbo wa morogoro;njaa mbele.

Kwahiyo huu sio uteuzi wa Rais bali ni majibu ya mungu kwake kwa kitendo chake cha kukililia kikombe hiki mwaka 2005 pasipo kujali mateso yake!!! Jesus aliomba kimuepuke ila kwa mapenzi yake baba,hakikumkwepa alinyweshwa siki kali sana ,Lowasa 1995(rejeeni gazeti la rai mwaka huo)aliomba kimuepuka kwa mapenzi ya Kambarage;wallah kilimuepuka kaka yangu na kubeba msalaba mzito ambao mpaka leo anahangaika nao!!!! Siasa bwana ni hatari.

Binafsi ninampongeza huyu mama kwani alichofanya ni kuwaalika rasmi mabint wa mkoa huu kuingia ktk game ili kuirejeshea heshima morogoro.

Morogoro eeh,.... Hata JK aliimba jamani,sisi wana Morogoro leo tunasema " IT'S ABOUT THE MESSAGE NOT THE MESSENGER"
 
Kanisa kaliacha sasa ? Maana anapewa pesa ya walipa kodi nma gari letu atapewa punde . BOT hiyooooooooo na mengine yaja . Je atasimama kwa jina la Tanzania na kusema ukweli mbele za Mungu ? Nangoja kusikia maana Slaa anakuja na hoja binafsi na Zitto kaeni mkao wa kula .
 
jamani hilo la kujirusha kama binadamu ni kawaida ..ili mradi hachukui mabwana za watu..anyway ingekuwa mfano bora kama mtumishi wa bwana akirudiana na mume wake..kwa kuwa hatumuelewi..kama hana mume na ni binadamu mwenye hisia ..hatachelewa kujirusha na dereva au..anyway kafanya kosa kubwa sana atakalojutia kujiunga siasa..unajua kumuumbuua mtumishi wa mungu inataka moyo ...lakini ukija kwenye anga za kisiasa tutakuchambua kama mwanasiasa ..utumishi wako tunaweka kando...hatukuangalii usoni!!!!
Mmh kwa weli huyo mama huwa mi nashindwa kumuelewa na hasa pale anapohubiri mambo ya ndoa wakati yeye kashindwa kurudiana na mumewe.kama yeye ni mkristo wa kweli na afanye hivyo kwanza.Lakini sasa tumepata mahali pa kumjurge mana akiwa bungeni ni mwanasiasa si mchungaji kabisa
 
Hapo itabidi ya mungu ampe mungu na ya CAISAR pia ampe.tuwasubiri hawa watetezi wa kweli wa watz watakuja na nini .Si mmeona leo bungeni wameanza kujikanyaga?
 
Naomba kujua kama JumpTV bado we can watch mambo ya Bungeni please.Naomba maana niko porini na sina TV ila laptop .
 
Haya huyu hapa akiwa anaapa leo bungeni Idodomya!

Rwakatare.jpg




Rwakatare1.jpg


Ya Mungu tumpe Mungu na ya Kaisari tumpe Kaisari.
 
Sitaki kuongea sana juu ya yeye kuingia kwenye siasa wala habari za madawa ya kulevya maana sina uhakika n a lolote. Ninachojua ni kwamba kweli kawasaidia watanzania kuinua elimu (actually english medium na si elimu in its general term) ambayo watu wengi walikuwa wanaifata kenya na ug. Ila napinga hilo la ajira coz most of waajiwa wake ni wakenya na waganda, anayebisha akachunguze. wabongo wachache na hiki mi kinaniuzi sana.
Ni kweli Judy tena hata hao watanzania wachache waliopo ni maassistance na wale mishaara yao hailingani na hao wkenya na waganda
 
Tamaa ya power ? Hapana she has one them for a very long time . Kanisa na uchungaji ni cover up na wote tunajua . Biashara za mashule ni zake kwa kutumiwa na wakubwa nandiyo leo wanaona ainghie kundini rasmi . Mwisho wake utakuja CCM watakapo mfukuza tena Zitto na yeye kusimama pale kwenye mimbari waumini watamuuliza na ndipo kanisa lake utaona lilikuwa na malengo si mambo ya kiroho.
 
Kwenye siasa si walitufunza kuwa wakoloni walitumia divide and conquer kututawala.

Siku moja tutasikia Invinsible wa JF amekuwa mbunge wa kuteuliwa kupitia CCM.
 
mhh huyu yesu akiingia hadi kwenye ufisadi basi dunia hii haina matumaini tena.

Bila kumhusisha mama Rwakatare na dini yoyote ile, nampongeza kwa uamuzi wake wa kuingia kwenye ufisadi. Hii nchi ni yake na yeye inabidi aungane na matajiri wenzake kina Karamagi kuila na kuitafuna vizuri. Yeye ni binadamu kama mimi na hivyo kama ana nafasi ya kufanya ufisadi kwa nini akatae?

Go Rwakatare, nchi yote yako hiyo, wenzako wanauza maeneo ya kanda ya ziwa kwa wazungu, inabidi wewe utafute eneo lakuuuza haraka sana kabla hujakosa pa kuuza!

Na wakati wa kuwapiga mawe mafisadi utakapowadia na yeye tutamponda bila kujali uaskofu wake. Hapo ndipo mambo yanazidi kuwa mazuri
 
Pundamilia,
Sita challenge unachosema. Inawezekana ni kweli kabisa huyu mama anafanya hayo yote unayosema na mengine mazuri zaidi. Lakini pengine wewe unajua shughuli zake za sasa hivi zaidi. Mimi najua alikotoka. Najua toka alivyoanzia kwenye maisha ya one bedroom apt pale Ilala flat mpaka kuwa na nyumba kila mtaa pale mikocheni B. Kifupi ni kwamba, mama Rwakatare amecheza faulo nyingi kufika alipofika. Kibaya zaidi amecheza hizo faulo kwa kupitia kivuli cha "utumishi" wa Mungu. Anachofanya sasa hivi ni ku-turn dirt money into good one. So far so good.

Unamjua vizuri?
Swali lakizushi:
Alikuwa anakaa flat namba ngapi?
 
Back
Top Bottom