johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 85,958
- 146,166
Mchungaji Kimaro anasema mwanadamu wa kwanza alitokea Tanzania ndio Sababu wanaume wa Kitanzania walikuwa na Nguvu kweli kweli
Barabara ya Ngorongoro ilijengwa kwa mikono na wazee wetu waliojaliwa Nguvu lakini Leo wanaume Kazi wanayomudu ni kufuga mizuzu tu( ndevu)
Kimaro anasema Africa wanaume ni wavivu mno na sijui nini kiliwakuta
Marekani kwa mfano ni Viongozi Watatu tu wanaoendeshwa na Madereva kwa Mishahara wa Serikali Rais, Makamu wa Rais na Spika
Ulegevu wa Wanaume Tanzania ni Mjadala mpana naomba muujadili Zaidi huko mitandaoni, ameomba mchungaji Kimaro