Mchungaji ayepigwa na waislam azikwa.

Mumwi

JF-Expert Member
Jan 9, 2011
592
122
Wakuu jana katika pitapita zangu mto wa mbu niliona watu wengi kuuliza nikaambiwa mchungaji aliyepigwa na kikundi cha waislam na kulazwa hospitali hatimaye alikufa na Jana kulikuwa na mazishi yake yaliyohudhuriwa na madhebu mbali mbali ya kikristo hapo Mto wa Mbu.
 
kama kuna ukweli kuhusu ushuhuda huu APUMZIKE KWA AMANI huyo mchungaji.
 
Wakuu jana katika pitapita zangu mto wa mbu niliona watu wengi kuuliza nikaambiwa mchungaji aliyepigwa na kikundi cha waislam na kulazwa hospitali hatimaye alikufa na Jana kulikuwa na mazishi yake yaliyohudhuriwa na madhebu mbali mbali ya kikristo hapo Mto wa Mbu.
Mumwi.
Huyu mchungaji alifanya kosa gani lililopelekea kupigwa na hicho kikundi cha waislamu?

Kwa nini hiki kikundi cha waislamu kilimpiga mchungaji?

Walikuwa na ugomvi? au Mchungaji aliingiza mifugo kwa malisho katika shamba la hicho kikundi?

Nini hasa kilipelekea kadhia hiyo iliyotokea Mto wa mbu?

Au hiki kikundi kilimvamia mchungaji wakiwa kama majambazi ? Walimpora mali yoyote? au walimpiga na kuondoka bila kuchukua kitu chochote?
 
Back
Top Bottom