Mchungaji atoroka na mwanafunzi

101 East

JF-Expert Member
Feb 25, 2015
1,040
2,121
Mhubiri wa eneo la Bomet kaunti amekamatwa na mwanafunzi wa Kidato cha Nne mwenye umri wa miaka 17 huko Kisii wakati wakisubiri usafiri kuelekea Kisumu.

Binti huyo ambae ni Mwanafunzi wa Shule ya sekondari ya Ngererit huko Bomet, alitoweka kwa mujibu wa jamaa zake katika Kituo cha Polisi cha Mogogosiek katika kaunti ya Rift Kaskazini.

Maafisa wa polisi walifanya msako na kuwakamata wawili hao baada ya kupata taarifa kutoka kwa madereva wa gari la Five Star Sacco katika kituo cha basi cha Kisii kuwa walimwona mhubiri mwenye umri wa miaka 25, Kipkoech Rotich, akiwa na msichana huyo wakati walipokuwa wakipanda gari lingine kuelekea Kisumu.

Ripoti zinasema mhubiri alikuwa amealikwa katika Shule ya sekondari ya Ngererit kutoa mahubiri, na baada ya hapo alitoroka na msichana huyo, na wamekuwa wakiepuka msako wa polisi tangu wakati huo.

Wawili hao wamekamatwa na kushikiliwa katika Kituo cha Polisi cha Nyanchwa ambapo kwa sasa wanazuiliwa wakisubiri kuhamishiwa Kituo cha Polisi cha Mogogosiek kwa hatua zaidi.
 
😄🤣🤣🤣
 
Kwani kipcoco kipreborn anasemaje?
Coco reborn
 
Back
Top Bottom