Ya kwao wameacha kuyaumua wanayaumua ya wabongo, kaaaazi kwelikweli
kiongozi we kuona tu tayari unakuwa ushapata stim!!!!mbona hata hawanipi stim
I salute you mzee wa kugegeda!!!nilisahau kidogo yaani ni kweli hawakupi stimu mzee wa migegedo!!mbona hata hawanipi stim
Sony Vega...
Hata wakila hizo dawa zao, miili yao haina rutuba, mwili hauoti!ya kwao yamewashinda kabisa kuvimbisha?loooh
Aisee, MFUTO ndiyo nini tena!!??Niujinga wa dada zetu maana Afican women wanamfuto wa kutosha.ANGALIA HAO MABINDI WA KICHINA NO MFUTO JIKUBALINI DADA ZETU
ndio uzuri wa division of labor, mie hapo ndo kwenewe..huyo wa kushoto she already stole my heat /mbona hata hawanipi stim