Mchina lazima kafanya kazi yake hapa

Mtamsingizia mchina bure, hapa ni bange la sumbawanga ndo lililofanya kazi!
 
DSC_0045.jpg


Kweli kabisa!

kwa maana maziwa na mwili wake ni tofauti kabisa!
 
Bangi jamani ni mbaya!! Its looks like Bongo bado kuna opportunity nyingi sana, kama hata huyu anapata watu wa kuwaburudisha. Inabidi kujenga college ya mziki wa Bongo Flava, itawasaidia kujinoa na kukuza vipaji vyao, sijui kama wizara husika inawatu wenye professional sawia katika michezo/miziki.
 
Back
Top Bottom