tatizo ni kwamba hayana vipimo kwamba unataka likue hadi kiwango fulani ndo maana binadamu anageuka na kuonekana kituko. Maziwa ya binadamu yamefunika tumbo hadi maeneo ya chini ya kitovu!!!! Mungu na atusamehe kwani tunamkufuru kwa makusudi
Hivi kuna aliyethibitisha kitaalamu kwamba watu hawa wametumia dawa za kichina na sio ulemavu wa viungo kama ulivyo ulemavu mwingine? Kama imethibitika basi tuendelee kuwakejeli maana wamejitakia. Lakini kama ni ulemavu wa asili basi Mungu atusamehe maana tumeisahau ile methali isemayo hujafa hujaumbika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.