Mchina au origino?

Original,lote hilo aweke ili iweje???kubwa sana jamani,inamuwia mzigo!!!!
 
yaone hivyo tu kwa nje, yakifunguliwa kutoka kwenye hiyo kabari ni balaa, kama ndara na hamu ya ku-do inapotea!
 
hali hili kitu jamani, ukute tunaojua kuhandle stress za haya majitu ndo unapiga na mwano kabisa, kuwepo na majirani bwana hala unaliachia VUVUZELA lisema nao, acheni jamani mambo haya...Paka MWeusi hiyo kitu mie nikiiona tu tayari sina amani tena...
 
Mkuu si umeniona hapo juu,nimeambiwa tu yallah tayari hisia zimepanda................
 
Back
Top Bottom