Mchezaji wa zamani wa majimaji na tanesco za songea Ambrose Mwingira (Ayoyi) amefariki dunia.

ligendayika

JF-Expert Member
Aug 31, 2012
1,183
198
Usiku wa kuamkia jumapili majira ya saa 10 usiku mchezaji mwenzetu Ambrose Mwingira (ayoyi) amefariki dunia kwa mujibu wa ndugu wa marehemu ayoyi alikua anaumwa malali jambo lillilopelekea kulazwa hospitali ya mkoa songea jumamosi saa nane mchana, alilazwa wadi ya kwanza (grade one) na baadae kuamishiwa chumba cha wagonjwa mahtuti (ICU) ambako kifo kilimkuta. BWANA AMETOA NA BWANA AMETWAA. ameni
 
Back
Top Bottom