Mchezaji mrefu zaidi kuwahi kutokea katika NBA

Na vidaladala vyetu vipank sijui kama ataweza kuvipanda huyu jamaa.Mke wake ndhani hajamfaidi kabisa manake busu tu ni ishu kwa jamaa
 
Huyu nadhani hata gari ilitakiwa kuwa custom made kwa ajili yake hiyo miguu ni mirefu mno.
 
Jamaa akilala usiku itabidi afunge kitambaa chekundu miguuni coz ni hatari! kama gari likizidisha mzigo!
 
Back
Top Bottom