Mchepuko unapokuachia kumbukumbu isiyofutika maishani mwako

Hakuna haja ya kulalamika wala kulia.

Yameshatokea, jipe moyo yatapita tu.

Utarudi kwa mkeo, ndoa itadumu milele na milele.
 
Mimi nilishakataa kuletewa zawadi na mume wangu kwani hua sijui kazitoa wapi na kanunua wapi, Nilimwambia kama anataka kuninulia zawadi twende wote akaninunulie au anipe pesa nikanunue mwenyewe. Niliamua kufanya hivyo baada ya kuona mienendo yake inabadilika nimeamua hivyo. Hata yale mapenzi ya saanaaaa nimepunguza nimeamua afanye anachotaka kwani inafika hatua nimechoka

Yap wanachosa ata ufanyaje awabebeki.
 
Kumbe mi nina bahati,nilijaribu
kuchepuka nikakuta mchepuko
ni zero kabisaaaa,nikakoma
na kurejea nyumbani sina mpango
na michepuko hata kidogo.
 
Nafikiri tatizo lako kuubwa ni kujifunza hayo mambo ukubwani
kuna faida zake na hasara
hasara ndo hizi....unavurugwa na kusahau huwezi

Kaka umenena vyema mambo ya ukubwani yana changamoto sana...hadi mzee mzima analia kwa feelings
 
Mkiambiwa mfanya uzinzi ujanani.ili mje mtulie na wake Zenu mnajifanya mnauchungu sana maisha mkisha pata kidg tu mapenzi yana anza kuwapelekesha kama gari bovu.haya sema huyo Dada in kabila gani nikupe dawa.na Sikh zote INA takiwa mwanaume amshike mwana make.nasio kinyume cha apo
 
Rubi ww sindio umesema moyo wako utembe na yule. Ukiona mwanaume na ufundi wake wote anashikwa masikio na binti ujuehuyo ni mgeni wa mambo
 
wife hajajisahau ila we ndo umejisahau hata katika maelezo yako hujaeleza unafanya kitu gani kudumisha ndoa yako.
 
MIT. 6:23-32 SUV

Maana maagizo hayo ni taa, na sheria hiyo ni nuru, Na maonyo ya kumwadilisha mtu ni njia ya uzima. Yakulinde na mwanamke mwovu, asikupate, Na kukuponya na ubembelezi wa mgeni. Usiutamani uzuri wake moyoni mwako; Wala usikubali akunase kwa kope za macho yake. Maana kwa malaya mtu hutiwa katika hali ya kuhitaji kipande cha mkate; Na kahaba humwinda mtu anase nafsi yake iliyo ya thamani Je! Mtu aweza kuua moto kifuani pake, Na nguo zake zisiteketezwe? Je! Mtu aweza kukanyaga makaa ya moto, Na nyayo zake zisiungue? Ndivyo alivyo aingiaye kwa mke wa jirani yake; Kila mtu amgusaye huyo atakuwa na hatia. Watu hawamdharau mwivi, Akiiba ili kujishibisha, iwapo aona njaa; Lakini akipatikana, atalipa mara saba; Atatoa mali yote ya nyumba yake. Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa; Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake.

Well said mkuu.....
 
Kuna michepuko mingine inaacha memories ambayo haifutiki na hutosahau maisha yako yote. Sijui kama ilishakutokea? Hata ukiwa na njia kuu yako na ukaachana na mchepuko, basi utakuwa na njia kuu yako kimwili ila kiakili na kiroho uko kwa mchepuko.Mimi hicho kitu kinanisumbua sana.

Nakumbuka ilikuwa mwaka 2007 nilipoajiriwa kwenye taasisi fulani, nikiwa na miezi minne tuu kazini na ugeni wangu, kuna siku tulikuwa na workshop training ya mambo ya IT. Tukakaa kila mtu kwenye computer yake kwa ajili ya training.

Baada ya lunch tukisubiri session ya mchana, nikawa nasoma emails na kucheki news kwenye mitandao mbali mbali. Akapita dada mmoja basi macho hayana pazia akaona nasoma email fulani (hizi za kufowadiana). Akaniambia email nzuri hiyo, nifowadie, akanipa email add yake. Nikafanya hivyo.

Kuanzia siku hiyo akawa ananirushia emails nyingi tu za kufowadiana, nikawa sina time nazo sana. Akawa ananitumia za kwake, ananisalimia na story nyingine nikaona kawaida. Sikushtuka.

Siku moja nikakuta amenitumia email, heading inasema "Nyumba hii unaweza kuipangisha kwa bei gani?" Nilipofungua nikakuta attachment ya slides, ina picha ya nyumba, kuna arrows kila chumba nikiclick inafunguka humo kuna picha za xx watu wanachapana, kila chumba.

Daah, nilipanic, ukweli nilikuwa sijawahi kuchepuka na nilikuwa mshamba mshamba wa hayo mambo, hata picha za x nilikuwa sipendi kabisa kuangalia. Ila siku hiyo nilipanic sana, mwili wote ukasisimka, mashine ikasimama nikiwa ofisini nikashindwa la kufanya. Siku nzima nikawa na mawazo, usiku niko kitandani namuwaza yule dada, nilikuwa na maswali mengi.

Siku iliyofuata akanipigia simu, nikashtuka amepataje namba yangu (anyway, labda kachukua kwa mtu mwingine, sikuhoji). Kuanzia pale mwanamume nikawa nimeshaingia ndani ya 18 yake. Alinisumbua sana, kwa siku alikuwa ananipigia tunaweza kuongea hata saa nzima au masaa mawili.

Ilipofika ishu ya mechi, alinipigisha kwata styles zote, mpaka zingine nilikuwa sizijui na ushamba wangu ujanani sikuwa na hayo mambo, sikuwahi kufanya sex mpaka siku ya ndoa. In short sikuwa na uzoefu.

Kilichonisaidia ni kuwa nilikuwa very strong kupiga round tatu au nne ilikuwa kawaida kabisa, na ikitokea tunaspend usiku wote basi mpaka tano. Mtoto anakata kiuno kama feni, ana miguno ya makelele, ananyonya mpaka unachanganyikiwa aisee. Kitu kimoja nilichokuwa naogopa, alikuwa mke wa mtu. Msiniulize ngoma tulienda kupima kabla ya kukutana.

Siku moja nikamwambia hatuwezi kuendelea hivi, mke wa mtu sumu. Akanijibu, sawa mke wa mtu sumu lakini haiui panya. Tukahitilafiana, akalia sana siku hiyo. Nikambembeleza aache kulia its over. Nikamhoji aniambie kwa nini amefanya vile, akatoka akaenda kwenye gari lake akaniletea albam ya picha, akanionyesha picha ya mumewe.

Alinisimulia mengi. Moja, amepishana na mumewe miaka mingi kiumri kwa hiyo hawamatch hata inapokuja suala la hobby. Pili mumewe ni mtu wa safari sana, nyumbani anaonekana kwa nadra sana, zingatia mumewe ni mchaga mambo ya business kwa sana.

Akaniambia kuwa hafurahii tendo la ndoa kwa mumewe, huwa anampa tu kama kutimiza wajibu lakini haitoki moyoni. Mwisho, akaniambia nikimuacha bora afe kwa vyovyote vile hataweza kukosa penzi langu.

Kuna siku alisafiri kwenda Dar, akaenda Zanzibar kuchukua mizigo ya biashara, aliporudi akaniletea box la zawadi amelifunga kwenye mfuko wa malboro mkubwa. Akaniambia nisifungue mpaka nifike nyumbani. Tulipoachana mimi nikaenda zangu ofisini nikague kwanza nisije nikaleta soo home.

Kumbe alikuwa ameninunulia mashati manne mazuri sana, vitambaa vya suruali viwili, viatu pea mbili vizuri, saa, simu smart phone, seti mbili za bed cover (mashuka manne, pillow nne, matandiko mawili) ya bei kali sana na rangi nzuri sana.

Pia nikakuta boxer nne, na bukta nne za kwangu, underwear nne na skin tight mbili za mke wangu. Kuanzia hapo akawa ananimiliki ile mbaya, daah, alikuwa ananibembeleza, alinivuruga nikavurugika kisawasawa.

Akisikia tuu nina tatizo basi kama ni hela ananipa, mara kapiga simu. Ila alinipa heshima sana akaniambia namba yake nisevu kwa jina la dereva tax, alikuwa hataki kabisa mapenzi yetu yavuruge ndoa zetu, kila mara ananikumbusha kufuta sms.

Ila kuna wakati tukavurugana tena tukaachana japo kwa machozi sana na vitisho. Sasa hivi ameacha kazi na amepata kazi green pasture nzuri zaidi mkoa mwingine, ila bado ananipigia na kunikumbuka. Since then, nimeshindwa kabisa kumsahau, japo najaribu kudelete hiyo file imeshindikana.

Nikitofautiana na mke wangu huwa natoka nyumbani naenda kukaa sehemu tulivu, najikuta namwaza yeye kama faraja, nammpigia, alafu nikiongea naye najikuta nalia nashindwa kujizuia. Wakati mwingine nikilala usiku najikuita hisia zinanijia natokwa na chozi.

Hivi nifanyeje nisimkumbuke tena? Ubaya mwingine ni kuwa njia kuu yangu imejisahau sana, no care tangu apate kazi ya kuajiriwa, maisha yanaenda tu ili mradi. Laiti mwenzangu angekuwa anajali may be ningesahau habari ya huyu mchepuko.

mfundishe darling wako hayo ama mfanyie hayo uliyokuwa unafanyiwa atajionea hata aibu
 
Siku hizi ofisi zimekiwa ni sehemu za kujipatia michepuko. Unakuta mwanamke kachelewa kuolewa so anaona suluhisho bora kuwa nyumba ndogo ya bwana flani. Mbaya zaidi anamwendea kwa waganga kumfinyanga huyo mwanaume. Kidogo kidogo mwanaume anaanza kumkatili mke wake na mwisho wa cku anaitelekeza familia. Kila cku mwanaume atapata sababu ya ugomvi na mke wake akijua akifika kazini mchepuko unambembeleza na kumliwaza. Walaaniwe wanawake wote wanaingilia ndoa za watu,wamesambaratisha ndoa nyingi na kuzisababishia ukiwa. Unakuta mwanaume alikuwa katulia kwenye ndoa yake mchepuko unambalisha anakuwa shubiri hashikiki,hajali hata ungemcare kiasi gani

Hapo hakuna kuenda kwa waganga... ni maufundi tuu yanayo mzubaisha mtu..sasa mke anajidai mpendwa hadi kitandani katika ulimwengu wa kileo? Ndo itokee jamaa kaonja nje unategemea nn hapo?. Wanawake na wabadilike na kupunguza kujifanya wapo bize... kwa kujifanya wapo bize wataendelea kusaidiwa tuu.. na wanaojua kazi..
 
Hapo hakuna kuenda kwa waganga... ni maufundi tuu yanayo mzubaisha mtu..sasa mke anajidai mpendwa hadi kitandani katika ulimwengu wa kileo? Ndo itokee jamaa kaonja nje unategemea nn hapo?. Wanawake na wabadilike na kupunguza kujifanya wapo bize... kwa kujifanya wapo bize wataendelea kusaidiwa tuu.. na wanaojua kazi..

duh! wewe ni he au shew
 
Ongea na mkeo ikibidi mfundishe jinsi ya ku do.
Wewe ndio kichwa mkeo ni mwili maamuzi ya kuuamuru mwili yapo kichwani mwako.
 
Usiniambie alishikwa pale Juma Nyosso alipomshika Bocco....

attachment.php

Hebu nikumbusheni, hivi kweli Bocco hakurusha ngumi japo moja tu?
 
Mimi nilishakataa kuletewa zawadi na mume wangu kwani hua sijui kazitoa wapi na kanunua wapi, Nilimwambia kama anataka kuninulia zawadi twende wote akaninunulie au anipe pesa nikanunue mwenyewe. Niliamua kufanya hivyo baada ya kuona mienendo yake inabadilika nimeamua hivyo. Hata yale mapenzi ya saanaaaa nimepunguza nimeamua afanye anachotaka kwani inafika hatua nimechoka

Mi akileta Zawadi napokea tena na mabusu telee. Alipozitoa hapanihusu kabisa
 
HAMNA,
mshikaji alkausha kabsa,,nyosso angeenda mafunzo ya piano maana anajua kutumia vdole kwel :);)
 
Dada hujawahi kukutana na wanaume waliokamatwa kwa madawa na kutumiwa kwa nguvu za majini mfano jini mahaba,kama hapo unakuta mistake kubwa aliyoifanya jamaa ni kufungua tu zile picha kwny mtandao.

Unakuta hizo picha hazifutiki kwenye mawazo na nafsi na ndiyo yanam push kumsahau hata wife na hapo akienda kuombewa lazima atoke mapepo ya kutosha,

Haya mambo yapo sana na nina mfano hai.

Inawezekana hayo mambo yapo ila pia na kujiendekeza pia kupo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom