mchakato wa kuanzisha kipindi kwenye runinga

Raia Fulani

JF-Expert Member
Mar 12, 2009
10,877
2,758
wadau nauliza ni hatua gani na taratibu zipi za kufuata katika kuanzisha kipindi, mfano wa kile cha dk 45 cha itv. Nahitaji nami kuanzisha kipindi japo mi sio mwanahabari.
 
Binafsi sijakuelewa labda tusubili pure great thinkers waje.
 
Unatengeneza proposal,ambayo inatakiwa ionyeshe cost za wazamini na malipo ya airtime kwa tv station,pia ukiwaza unatengeneza mfano alisia wa hicho kipindi kuongezea ushawishi kwa unaotaka wadhamini icho kipindi.
 
umesomeka halfway mkuu
 
Back
Top Bottom