Mchakato wa katiba mpya ni muhimu kuwepo ukomo wa utekelezaji wake, zaidi ya hapo ni kiini macho

RWANDES

JF-Expert Member
Jun 12, 2019
1,615
3,909
CCM hawapo tayari kuachia dola kwa kuwa wanajua wanayowafanyia wananchi yaliyo mengi ni ubadhilifu wa hali ya juu wa fedha za umma. Wanaamini chama kipo watu wake watatawala milele na pia kuna mnyetishaji amenipa taarifa kuwa tanzania upinzani hamna kwamba wamesubiri donge nono kutoka kule juu ndicho kitakachofanyika na uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu utafanyika bila kuwepo kitu kinachoitwa katiba mpya.

Serikali haiamini katiba moya ni kwa ajiri ya wananchi inaamini wanasiasa ndiyo wanaoihitaji kwa manufaa yao binafisi kwa hiyo na wao kupitia hii tuliyonayo inayowapa nguvu katika maamuzi hawawezi kuitoa kirahisi.
 
Back
Top Bottom