Gagurito
JF-Expert Member
- Feb 11, 2011
- 5,600
- 804
Kwa kutokuruhusu maswala ya muungano yasizungumziwe naathubutu kusema Mchakato wa katiba mpya haututendei haki tanganyika kwa kuzingatia kuwa mpaka sasa wenzetu wa upande wa pili (Zanzibar) wana katiba yao na kila kitu kama taifa! tuamke ndugu zangu, ufumbuzi w matatizo yetu ni utatuzi wa utata huu mwanzo wake ni Katiba!