Mchakato wa ajira Serikalini ni wa kushangaza

musami

JF-Expert Member
Sep 16, 2011
1,434
458
Hivi karibuni zimetoka ajira mpya Serikalini kwa kada za Afya na Elimu. Kitu kilichonishangaza kuna vijana wengi walioomba wenye Shahada wameachwa, badala yake wamechukuliwa wenye vyeti (Astashahada)!

Tatizo ni kwamba, hawa wote wenye vyeti wanapopata ajira kinachofuatia wanaomba ruhusa ya kwenda kusoma ili kupata Stashahada, Shahada n.k, muda huo upungufu wa walimu huwa unaendelea.

Sasa kwanini tunawaacha hawa wenye Shahada ya ualimu ambao walau wanakuwa wamepiga hatua kubwa ya masomo? Hivi hawa wafanya maamuzi huwa wanawaza nini?
 
Ni mahesabu ya kijinga tu ya serikali.
Kwao wanachoangalia ni propaganda ya kuwahadaa wananchi kua wametoa ajira nyingi n.k, lakn ukweli n kwamba wakipiga hesabu, mshahara wa mtu mwenye degree wanaeza kuajiri certificate wawili au watatu. So ndo plan yao
 
Ni mahesabu ya kijinga tu ya serikali.
Kwao wanachoangalia ni propaganda ya kuwahaactlyadaa wananchi kua wametoa ajira nyingi n.k, lakn ukweli n kwamba wakipiga hesabu, mshahara wa mtu mwenye degree wanaeza kuajiri certificate wawili au watatu. So ndo plan yao
Exactly broo!!!na hii ndio pointi kuu,,,na kwenye ajira za sasa kwenye mkataba wanapewa limiti kwenda kusoma hadi umalize miaka 5 kazini,,,wanajua ndani ya miaka mitano wameshakusanya kodi yao ya kutosha kutoka kwenye mishahara finyu wanayolipa kwa hao wengi wao walioajiriwa kwa astashahada!!
 
Ahaaa sirikali. Watu wanaujanja ujanja wa kuwaadahaa watanzania pindi wanaajiri hao wa Cheti uku rasimu ya mtaala mpya inapendekeza kiwango Cha chini kitakachotakiwa kwa ualimu ni ngazi ya diploma hapa Sasa naona tunapiga make time
 
Hivi karibuni zimetoka ajira Mpya Serikalini kwa kada za Afya na Elimu.Kitu kilichonishangaza kuna vijana wengi walioomba wenye Shahada wameachwa,badala yake wamechukuliwa wenye vyeti (Astashahada).Tatizo ni kwamba hawa wote wenye vyeti wanapopata ajira kinachofuatia wanaomba ruhusa ya kwenda kusoma ili kupata Stashahada,Shahada n.k.Muda huo upungufu wa walimu uwa unaendelea.Sasa kwa nini tunawaacha hawa wenye Shahada ya ualimu ambao walau wanakuwa wamepiga hatua kubwa ya masomo?Hivi hawa wafanya maamuzi uwa wanawaza nini?
Kwa taarifa yako hao wa vyeti kwa sasa wengi Wana Diploma na Degree wengine mpaka masters.

Huku kwetu halmashauri mwaka Jana waliajiriwa na cheti ghafla Wanabadilisha muundo kwenda Degree.

Wewe umekaa mtaani na Degree yako miaka 8 wenye cheti na Diploma wengi walikuwa wakijiendeleza.
 
Ni mahesabu ya kijinga tu ya serikali.
Kwao wanachoangalia ni propaganda ya kuwahadaa wananchi kua wametoa ajira nyingi n.k, lakn ukweli n kwamba wakipiga hesabu, mshahara wa mtu mwenye degree wanaeza kuajiri certificate wawili au watatu. So ndo plan yao
Na hii ndio pointi kuu..cheap labour
 
Kwa taarifa yako hao wa vyeti kwa sasa wengi Wana Diploma na Degree wengine mpaka masters.

Huku kwetu halmashauri mwaka Jana waliajiriwa na cheti ghafla Wanabadilisha muundo kwenda Degree.

Wewe umekaa mtaani na Degree yako miaka 8 wenye cheti na Diploma wengi walikuwa wakijiendeleza.
Anapoint Fulani hv mtoa mada anachomaanisha sio wote sawa waliojiendeleza hla wameamua kuomba ajira kwa ngazi ya Cheti, na naamini 90%wanaoomba ajira kwa ngazi ya Cheti ni kwel wanachet tu wanasubir waajiriwe ndio wakajiendeleze ngazi za juu basi hii kitu inasababisha upungufu wa watumishi kuendelea vile vile kwenye matahasisi. hvo bac kukabiliana na hili serikali waajiri wenye shahada wengi kuzidi vyet na diploma angalau tunajuana watz wengi wakifika shahada Awana Tena Amu ya kuendelea soma angalau itapunguza gap ya uhaba wa watumishi .
 
Iko hivi, serikali inampango wakuondoa walimu wa cheti kwenye mfumo wa ajira. Walimu wanaohitajika kwa sasa ni kuanzia ngazi ya stashahada(Diploma),Sas ili kutenda haki kwa wale waliosoma certificate nilazima serikali ijitahid kuwaajiri wote wakati huohuo wakisitisha udahili wa ngazi hiyo ya cheti vyuoni.
Upo mpango unaandaliwa kuwaendeleza wenye cheti kuwa na diploma wakiwa huko makazini ili waendane na hitaji lasasa.

Hoja yangu iko hapa; Certificates wanaajiriwa kwa wingi ili wamalizike mtaani kwani halikuwa kosa lao kutoajiriwa wakati huo ambapo sifa za diploma zilikuwa hazujawa za lazima.
Kumbukeni certificates wengi waliohitimu vyuo kuanzia 2015,2016.... hawajaajiriwa bado
 
WAlioko wengi Serikalini wamesoma Kwa kuunga unga , kufeli kwingi na kuinuka , wanawaona walioenda straight kama namna gan hv
True. Halafu utawasikia wanasema eti waliosoma kuanzia certificate ndio na kujiendeleza mpaka bachelor ndio wanaojua kaxi
 
Hivi karibuni zimetoka ajira mpya Serikalini kwa kada za Afya na Elimu. Kitu kilichonishangaza kuna vijana wengi walioomba wenye Shahada wameachwa, badala yake wamechukuliwa wenye vyeti (Astashahada)!

Tatizo ni kwamba, hawa wote wenye vyeti wanapopata ajira kinachofuatia wanaomba ruhusa ya kwenda kusoma ili kupata Stashahada, Shahada n.k, muda huo upungufu wa walimu huwa unaendelea.

Sasa kwanini tunawaacha hawa wenye Shahada ya ualimu ambao walau wanakuwa wamepiga hatua kubwa ya masomo? Hivi hawa wafanya maamuzi huwa wanawaza nini?
Walimu wenye degree pole kwa njaa
 
Iko hivi, serikali inampango wakuondoa walimu wa cheti kwenye mfumo wa ajira. Walimu wanaohitajika kwa sasa ni kuanzia ngazi ya stashahada(Diploma),Sas ili kutenda haki kwa wale waliosoma certificate nilazima serikali ijitahid kuwaajiri wote wakati huohuo wakisitisha udahili wa ngazi hiyo ya cheti vyuoni.
Upo mpango unaandaliwa kuwaendeleza wenye cheti kuwa na diploma wakiwa huko makazini ili waendane na hitaji lasasa.

Hoja yangu iko hapa; Certificates wanaajiriwa kwa wingi ili wamalizike mtaani kwani halikuwa kosa lao kutoajiriwa wakati huo ambapo sifa za diploma zilikuwa hazujawa za lazima.
Kumbukeni certificates wengi waliohitimu vyuo kuanzia 2015,2016.... hawajaajiriwa bado
Sasa hii kitu ndo tunayopigia kelele kwa sababu hao wenye chet uwezi wamaliza na mahajabu nimeona Kuna vyuo mwaka huu wamedahili watu wa ualimu ngazi ya cheti wanasema akuna waraka uliowazuia kufanya udahili wa ualimu ngazi ya Cheti kwa mwendo huu unafikiri wataisha watu Cheti!!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom