Mchaga na mpare

Nothing4good

Senior Member
Feb 19, 2011
180
55
Kulikua na mpare na mchaga waliokua wanasafiri kwenda tabora kibiashara walipofika singinda wakaamua kuchukua gest walale kwa7bu ilikua usiku sana hakukua na magari yakwendelea na safari.kwa bahati mbaya wakapata chumba kimoja 2 na kila mmoja alikuwa na mkewe. Wakaamua kulala hivyo hivyo mpaka asubuh. Mhudumu akaja asubuh kuwajulia hali maongezi yao yalikua hivi mhudumu: habari za asubuh!? Mpare: jana sijalala kabisa. Mhudumu : kwa nini? Mpare: nilikua namlinda mke wangu huyu mchanga adhije akamchukua. Mhudumu akamgeukia mchaga na kumuuliza na wewe hujalala? Mchaga: sijalala chariangu! Mhudumu:hehe! Nawewe ulikua unamlinda mke wako kama mwenzako? Mchaga!! Hapana. Mhudumu: sasa kwa nini hujalala? Nilikua nalinda mahela yangu huyu mpare asije akaniibia
 
Hizi pipoli mbili chaga na pare dugu moja, pana kopesa pesa! veve pana jua napenda sana pesa..
 
Back
Top Bottom