Mchaga na Mbuzi (Ndafu)

Boflo

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
4,384
4,409
chaga 1.jpg
chaga 2.jpg
boflo.jpg ....................
 
Mkuu hiyo nguo aliyovaa inaonyesha taswira aisee duhh halafu anabonga na simu kwa uhuruuuu
 
Boflo sasa hiyo hapo katikati ndo mguu wa mbuzi. Wewe unatafuta matatizo na watu humu ndani
 
Nilidhani picha ya kwanza inachekesha nika smile tu, nikafikia ya pili nikacheka kweli nilipofika ya tatu kicheko kikakatika ghafla!
 
Back
Top Bottom