Mbwana Samatta is the next level

SOKON 1

JF-Expert Member
Dec 28, 2010
1,134
331
Ni moja kati ya wachezaji mahiri na mwenye uwezo mkubwa ambaye ukimtazama jinsi anavyopokea mpira na kutoa pasi na anavyojiweka katika nafasi pia uwezo mkubwa wa kuwa na mpira mda mrefu.

My Take;
Ndoto zangu ni kumuona anacheza moja ya ligi kubwa Ulaya kwani naamini anaweza.

Nawasilisha
 
Nami nina tamaa hy, ila sijui wachezaji wetu wana nini! Hakuna anayepata timu kwenye ligi kubwa za ulaya, sana sana kwenye ligi zisizo na umaarufu huko vietnam, nk. Tulidhani milango ilifunguka kwa Ngassa kutua EPL badala yake kaishia Azam Fc, na anaonekana kafika, hana hata dalili za kwenda ulaya. Ni changamoto kwa Samatta na vijana wengine wanaochipukia.
 
Wachezaji wetu wanachokosa ni malengo pia kutosheka na maisha ya bongo ila naamini Sumata kama atapata mshauri mzuri atafika mbali kwani Ngaza kufanya majaribio moja kwa moja toka Ligi ya voda Tz mpaka Wingereza ilikuwa tosha kusibitisha yuko juu ila viongozi wa Yanga walimpoteza.
 
Wachezaji wa bongo hawana mission wala vision ndo maana hawafiki mbali
Akisifiwa kidogo tu hata mazoezi hafanyi tena
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom