Shark
JF-Expert Member
- Jan 25, 2010
- 29,477
- 29,192
#MICHEZO Nahodha wa Taifa Stars, Mbwana Samatta amerejea tena katika klabu iliyompa mafanikio barani Ulaya, KRC Genk kwa mkopo wenye kipengele cha kumnunua moja kwa moja akitokea Fenerbahce ya Uturuki.
Samatta aliitumikia Genk katika michezo 191 na kufunga mabao 76 huku akishinda ubingwa wa Ligi Kuu ya Ubelgiji na kufanikiwa kucheza makundi ya Klabu Bingwa Ulaya.
#Samagoal #MbwanaSamatta #EastAfricaTV