Mbwa wanaosemwa na Gwajima ni akina nani?

..Ni kweli Askofu Gwajima amenukuu toka kwa Winston Churchill.

..maneno hayo yangeweza kuwa hayana ukakasi kama angeyatumia ktk mazingira na nyakati tofauti.

..sidhani kama ilikuwa sahihi kwa Askofu Gwajima kuyatumia maneno hayo baada ya UCHAGUZI MKUU ambao una malalamiko mengi.
Jokakuu usemayo ni kweli, lakini kwanini sisi tumekuwa wepesi kutolewa kwenye mada ya uchaguzi na kuanza kushughulishwa na misemo ya khanga?
 
Mbwa ni waumini wake na mchepuko aliougegeda kinoma. Askofu mshenzi huyu.
 
Jokakuu usemayo ni kweli, lakini kwanini sisi tumekuwa wepesi kutolewa kwenye mada ya uchaguzi na kuanza kushughulishwa na misemo ya khanga?

Hili ni suala la muda tu lakini tutarudi kulekule kwenye uchaguzi ambao kimsingi uliharibiwa.

Lakini kwa upande mwingine tuna tatizo kubwa zaidi la mmomonyoko wa maadili, na inaelekea hakuna utu tena.

Tunaweza kuandika sheria na taratibu nzuri za uchaguzi, lakini kama hatutabadilika kimaadili, matatizo yetu yatabaki palepale.

Labda nitoe mfano wa usumbufu waliokuwa wakiupata wagombea wa upinzani ktk kurudisha fomu za uteuzi, kupitishwa kugombea, kushughulikia mapingamizi, kupata majibu ya rufaa, etc etc. hivi unadhani tatizo ni sheria zetu tu, au tatizo kubwa zaidi liko ktk maadili ya wasimamizi wa sheria hizo?
 
..hili ni suala la muda tu lakini tutarudi kulekule kwenye uchaguzi ambao kimsingi uliharibiwa.

..lakini kwa upande mwingine tuna tatizo kubwa zaidi la mmomonyoko wa maadili, na inaelekea hakuna utu tena.

..tunaweza kuandika sheria na taratibu nzuri za uchaguzi, lakini kama hatutabadilika kimaadili, matatizo yetu yatabaki palepale.

..labda nitoe mfano wa usumbufu waliokuwa wakiupata wagombea wa upinzani ktk kurudisha fomu za uteuzi, kupitishwa kugombea, kushughulikia mapingamizi, kupata majibu ya rufaa, etc etc. hivi unadhani tatizo ni sheria zetu tu, au tatizo kubwa zaidi liko ktk maadili ya wasimamizi wa sheria hizo?
Mkuu,nitasema tena na tena,yule alieziita nchi za Afrika chini ya Jangwa la Sahara ni Shit hole Country hakukosea..

Katika Uchaguzi uliopita, Wabunge wa Upinzani wengi wameenguliwa kwa kukosea kujaza form..

Kwanini mtu aliekosea kujaza form harejeshewi na kuijaza inavyotakiwa!?
Kwanini aenguliwe..

Huo ni mfano mmoja,iko mingi, Waafrika bado hatuna uwezo wa kujitawala,period
 
Huyo ndiye mnamuita eti/sijui askofu?
... leo ndiye anatamka kauli ya kuita watu umbwa!!

Sitakosea nikisema ni askofu wa maumbwa, wezi na wanyang'anyi.
Hakika, gwajima ailichukulia uaskofu kama kichaka cha kuficha maovu yake, kwenye siasa atajiweka peupe. Anapata wapi ujeuri wa kuwaita mbwa wana wa Adamu walioumbwa kwa sura ya Mungu?
 
Mhe askofu Gwajima akitoa neno la shukurani baada ya Rais kuhutubia Bunge amemshauri Mh. Magufuli kuwaacha mbwa waendelee kubweka.

Wajuvi wa Mambo, tunaomba mtujuze hao mbwa ni akina nani? Ni kweli kuna mbwa wanaompigia kelele Magufuli?
Gwajima ailichukulia uaskofu kama kichaka cha kuficha maovu yake, kwenye siasa atajiweka peupe. Anapata wapi ujeuri wa kuwaita mbwa wana wa Adamu walioumbwa kwa sura ya Mungu?
 
Yani anamaanisha mwizi anapoenda kuiba mbwa kama walinzi hubweka kumzuia mwizi asifanikishe zoez kake. Ila gwajima anamshaur magu aendelee na wizi wake asijali mbwa wanaombwekea
 
Yani anamaanisha mwizi anapoenda kuiba mbwa kama walinzi hubweka kumzuia mwizi asifanikishe zoez kake. Ila gwajima anamshaur magu aendelee na wizi wake asijali mbwa wanaombwekea
Duuh..!! Alinifumba kabisa nisingeweza kuelewa kitu hapo..!! Ni kweli kabisa mbwa hufugwa kwa kazi ya kubweka wezi wanapotaka kuiba. Nashukuru sana kwa ufafanuzi huo. Kwa hiyo anamaanisha mbwa wameng'olewa meno hata wakibweka wala asiogope aendelee kuiba tu.
 
Hakika, gwajima ailichukulia uaskofu kama kichaka cha kuficha maovu yake, kwenye siasa atajiweka peupe. Anapata wapi ujeuri wa kuwaita mbwa wana wa Adamu walioumbwa kwa sura ya Mungu?
Sikia mkuu.

Ile huduma yake hatujui ilitoka wapi na ukifuatilia hapo nyuma utagundua alikuwa anafanya ibada za kuvuta watu kupitia kufufua wafu, hapo ndipo ile biashara yake ili_base zaidi.

Kwa undani kuna siri kubwa hapa hakuna anayeweza kuielewa ila mwa ufupi hizi dini za new age huwa zina mwanzo na mwisho, ukitaka kuangalia kwa jicho lako, piga picha mwanzo wa biashara yake mpaka hivu leo kwenye hilo sijui ndiyo kanisa linavyoendelea, utaina mwamko umeloose sana na walio baki ni wale waliozaliwa na kukuta familia inasali hapo, vinginevyo ni wachache tena wanatafuta pa kwenda.

New Age Faith huwa zina mfumo wake na lazima uhufuate ili uweze kutoboa, hata yule mwingine naye aliye mfukuza gwajima pale Tanganyika Packers atakuja kuishia kwenye siasa, save this word, na inapofikia hatua hiyo ndipo ule mwisho wa biashara kupitia neno la Mungu huwa inakaribia kufa au kufika ukomo.
 
..hili ni suala la muda tu lakini tutarudi kulekule kwenye uchaguzi ambao kimsingi uliharibiwa.

..lakini kwa upande mwingine tuna tatizo kubwa zaidi la mmomonyoko wa maadili, na inaelekea hakuna utu tena.

..tunaweza kuandika sheria na taratibu nzuri za uchaguzi, lakini kama hatutabadilika kimaadili, matatizo yetu yatabaki palepale.

..labda nitoe mfano wa usumbufu waliokuwa wakiupata wagombea wa upinzani ktk kurudisha fomu za uteuzi, kupitishwa kugombea, kushughulikia mapingamizi, kupata majibu ya rufaa, etc etc. hivi unadhani tatizo ni sheria zetu tu, au tatizo kubwa zaidi liko ktk maadili ya wasimamizi wa sheria hizo?
Tatizo kubwa ni wasimamizi wa sheria, na hakuna mtu au watu wa kukemea mambo haya na kusikilizwa. Kwa kifupi hakuna checks and balances kwenye mifumo yetu wa kuendesha nchi.
 
Mhe askofu Gwajima akitoa neno la shukurani baada ya Rais kuhutubia Bunge amemshauri Mh. Magufuli kuwaacha mbwa waendelee kubweka.

Wajuvi wa Mambo, tunaomba mtujuze hao mbwa ni akina nani? Ni kweli kuna mbwa wanaompigia kelele Magufuli?
Lissu, Mbowe, Maria, Kigogo, Shangazi, Zitto and the like.
 
Ni yeye mwenyewe
Mhe askofu Gwajima akitoa neno la shukurani baada ya Rais kuhutubia Bunge amemshauri Mh. Magufuli kuwaacha mbwa waendelee kubweka.

Wajuvi wa Mambo, tunaomba mtujuze hao mbwa ni akina nani? Ni kweli kuna mbwa wanaompigia kelele Magufuli?
 
Mhe askofu Gwajima akitoa neno la shukurani baada ya Rais kuhutubia Bunge amemshauri Mh. Magufuli kuwaacha mbwa waendelee kubweka.

Wajuvi wa Mambo, tunaomba mtujuze hao mbwa ni akina nani? Ni kweli kuna mbwa wanaompigia kelele Magufuli?
Kiongozi wa Kiroho Rasmi Kesha kaa pembeni na Mambo ya Kiroho,Siasa Siku zote kwa Tanzania ni Chuki,Uongo na Ubinafsi Askofu kaamua kuwa Upande huo
 
Wanataka kukwamisha wenzao ni wale,walioiba haki za wenzao akiwemo Gwajima..

Kwasababu ame m-qoute Churchill ndio unamuona mtu wa maana,huyu jamaa ni tapeli Tu,hana lolote

Huyu jamaa sio mfano mzuri Kwa jamii..mropokwaji,muongo,anapenda Matusi ..nk

Siwezi kupinga mawazo yako kuwa ni uongo ila hata kama hayana ukweli lakini bado tuna safari ndefu sana kama taifa .
 
Back
Top Bottom