Minjingu Jingu
Senior Member
- Nov 2, 2023
- 138
- 505
Nahitaji kufuga mbwa. Naombeni kama kuna mdau anaweza ni bless na mbwa nitashukuru sana. Zisiwe zile mbegu za mbwa wa kizaramo... Vile vyembamba vinatanga na njia wakati wote.
Hapana. Pamoja na kuwa ninaomba lakini pia haimaanishi nitachukua mbwa ambaye najua sitakuwa na furaha naye. Wale wafugaji wanajua mbwa wazuri wanakuaje. So please tusaidiane katika hilo nami nitawaombea baraka.
Mtapata hata mbolea ya minjingu.