Wanangu ujinga na uroho mwingine ni balaa. Watanzania wamegeuzwa mbuzi au kuku kuletewa kila upuuzi nao wakauamini. Laiti Shigongo angetwambia kama huyo mbuzi wake ashambaka mkewe kidogo tungemwelewa. Bila kufanya hivyo ni ushahidi kuwa Shingongo anawadharau wateja wake kwa kuwalisha uchafu na uongo. Ajabu eti Shigongo ni mlokole! Hata hivyo nani atashangaa iwapo akina Rwakatare, Gamanywa, Lusekelo, Kakobe, Gwajima na matepeli wengine wana wafuasi?
nilishapiga marukufuku magezeti haya kuonekana kwangu, nashindwa tu kuyapiga ban ofisini, mtaani na kwa wauza magazeti mtaani, au huwa nashauri yasomwe(home) watu wote wakiwa wamelala na hakuna anayejua kuwa linasomwa. Sijui limefikaje hapa kwenye JF
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.