Mbunge wetu wa Same Magharibi unavyotutendea sio sahihi wapiga kura wako

UTOPIANISM

Member
Aug 7, 2013
63
23
Wana jamvi,

Nnimejaribu kupita pita katika jimbo hili langu ama la wananchi wa Same Magharibi yani ni sawa na mtoto mkiwa huwezi amini shida wanazokutana nazo watu wa jimbo.

Hili wiki moja iliyopita nimejaribu kwenda katika kijiji cha Mhezi kata ya Mwembe ambapo pia ni barabara ya kwenda kwa mheshimiwa huyu Mbaga yani ndugu kama kuna mgonjwa anafia njiani kwa bara bara ilivyokuwa mbovu alafu na ilivyozidi kuharibiwa na magari ya huyu bepari ambaye kuna tetesi kuwa ana ubia na kampuni hiyo inayochukua udonngo na kusafirisaha nje ya nchi.

Kwa nini hagushwi na matatizo ya jimboni kwako? unashindwa na mwanamama wa Same Mashariki ANNER KILANGO bara bara ya kwenda kwake walau ina lami na amewezesha jamii inayomzunguka sasa wewe pamoja na kuteuliwa kuwa waziri tena katika sekta mbili umeshindwa hata kutuwekea kiwanda cha kusindika nyama na ngozi kwa kuwa watu wako unawajua ni wafugaji.

Kama rasilimali zinanufaisha sehemu husika mbona tuna utajiri wa vtu vingi?, ona madin ya gypsum yanavyopelekwa Tanga wakazi wamebaki wachimbaji yani hata kulisemea tuu maji ndo wimbo mkubwa Malambo kwa wachungi hasa Masandare na Kitamri.
Vipi sakata la kuuzwa kwa PADECO kwa bei ya kutupwa?

Hayo yote sio haki
:wave:
 
Dawa yao ni wananchi kupata elimu ya uraia wakishajua kupiga kura na kulinda kura ni kitu kimoja mbona patabadilika.
 
[MENTION][MENTION][/MENTION][/MENTION]
Wana jamvi nimejaribu kupita pita katika jimbo hili langu ama la wananchi wa same magharibi yani ni sawa na mtoto mkiwa huwezi amini shida wanazokutana nazo watu wa jimbo hili wiki moja iliyopita nimejaribu kwenda katika kijiji chamhezi kata ya mwembe ambapo pia ni bara bara ya kwenda kwa mheshimiwa huyu mbaga yani ndugu kama kuna mgonjwa anafia njiani kwa bara bara ilivyokuwa mbovu alafu na ilivyozidi kuharibiwa na magari ya huyu bepari ambaye kuna tetesi kuwa ana ubia na kampuni hiyo inayochukua udonngo na kusafirisaha nje ya nchi kwa nini hagushwi na matatizo ya jimboni kwako? unashindwa na mwanamama wa same mashariki ANNER KILANGO bara bara ya kwenda kwake walau ina lami na amewezesha jamii inayomzunguka sasa wewe pamoja na kuteuliwa kuwa waziri tna katika sekta mbili umeshindwa hta kutuwekea kiwanda cha kusindika nyama na ngozi kwa kuwa watu wako unawajua ni wafugaji kweli kama rasilimali zinanufaisha sehemu husika mbona tuna utajiri wa vtu vingi ona madin ya gypsum yanavyopelekwa tanga wakazi wamebaki wachimbaji yani hata kulisemea tuu maji ndo wimbo mkubwa malambo kwa wachungi hasa masandare na kitamri vp sakata la kuuzwa kwa PADECOkwa bei ya kutupwa? hayo yote sio haki:wave:

Mzee huyu mbunge ni miongoni mwa wabunge dhaifu sana huko magambani hata akiulizwa swali kujitetea tu kwenyewe shida, hata kampeni zake sijui alipigaje yani huwa nashindwa kuelewa kabisa, huyu safari hii inawakuondosha kabisa ni aibu sana.
 
Wana jamvi,

Nnimejaribu kupita pita katika jimbo hili langu ama la wananchi wa Same Magharibi yani ni sawa na mtoto mkiwa huwezi amini shida wanazokutana nazo watu wa jimbo.

Hili wiki moja iliyopita nimejaribu kwenda katika kijiji cha Mhezi kata ya Mwembe ambapo pia ni barabara ya kwenda kwa mheshimiwa huyu Mbaga yani ndugu kama kuna mgonjwa anafia njiani kwa bara bara ilivyokuwa mbovu alafu na ilivyozidi kuharibiwa na magari ya huyu bepari ambaye kuna tetesi kuwa ana ubia na kampuni hiyo inayochukua udonngo na kusafirisaha nje ya nchi.

Kwa nini hagushwi na matatizo ya jimboni kwako? unashindwa na mwanamama wa Same Mashariki ANNER KILANGO bara bara ya kwenda kwake walau ina lami na amewezesha jamii inayomzunguka sasa wewe pamoja na kuteuliwa kuwa waziri tena katika sekta mbili umeshindwa hata kutuwekea kiwanda cha kusindika nyama na ngozi kwa kuwa watu wako unawajua ni wafugaji.

Kama rasilimali zinanufaisha sehemu husika mbona tuna utajiri wa vtu vingi?, ona madin ya gypsum yanavyopelekwa Tanga wakazi wamebaki wachimbaji yani hata kulisemea tuu maji ndo wimbo mkubwa Malambo kwa wachungi hasa Masandare na Kitamri.
Vipi sakata la kuuzwa kwa PADECO kwa bei ya kutupwa?

Hayo yote sio haki
:wave:

mbaga ndiyo nani?
 
Back
Top Bottom