Mbunge wangu SELASINI na mbunge wa kufikia LEMA, mimi nataka kura ya WAZI..

sirluta

JF-Expert Member
Nov 28, 2012
6,325
2,486
Kila mtu amkumbushe mwakilishi wake juu ya kura anayoitaka itumike ili na wao watuwakilishe kwa maoni yetu na siyo mawazo yao au vyama vyao. Mkishindwa mbaki huko huko msirudi majimboni.......
 
mbunge wangu wa hai freeman mbowe. mambo ya dubai achana nayo tuwakilishe vema huko mjengoni....
 
Kila mtu amkumbushe mwakilishi wake juu ya kura anayoitaka itumike ili na wao watuwakilishe kwa maoni yetu na siyo mawazo yao au vyama vyao. Mkishindwa mbaki huko huko msirudi majimboni.......
Acha kuropoka kama kasuku. Anza kutaja faida na hasara za kura ya wazi na siri ndio uanze kumshawishi mbunge wako.
 
Mbunge wangu Mnyika nataka kura ya wazi ni jue unasimamia wapi? Nikupongeze na nikulaumu huko mbeleni kama utakuwa umepatia!
 
Acha kuropoka kama kasuku. Anza kutaja faida na hasara za kura ya wazi na siri ndio uanze kumshawishi mbunge wako.

hahahaha...utawajua tu' niache na wawakilishi wangu kama huna wakwako, wewe kaa zako huko Somalia.
 
Kila mtu amkumbushe mwakilishi wake juu ya kura anayoitaka itumike ili na wao watuwakilishe kwa maoni yetu na siyo mawazo yao au vyama vyao. Mkishindwa mbaki huko huko msirudi majimboni.......

Kichwani zimo kweli,vip na hesabu inapanda kweli.....naona kama vile mwili wako umebeba nazi badala ya kichwa.

Anyway,hata vichaa wanawaza!!!
 
Kura ya siri ndiyo jibu.

Mkuu Msuki hebu weka kwenye mfumo wa poll watu wapige kura
 
Last edited by a moderator:
Mbunge wangu kilaza Eugine Mwaiposa nataka kura ya siri japo magamba wenzako hawataki

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Highness kiwia(Ilemela),hatuwezi kuwa kama magamba.Siri tafadhari.Ndesapesa nipo jimboni kwako,siri tafadhari
 
Back
Top Bottom