Mbunge wa zamani, Bwege anaumwa, amekatwa mguu, tumuombee

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,752
218,339
Mzee Bwege mbunge wa zamani wa CUF, anaumwa na amekatwa mguu kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.

Vyombo vya habari vya Tanzania vimeripoti.

Screenshot_2024-02-16-15-48-50-1.png

Screenshot_2024-02-16-15-48-56-1.png

Natoa wito kwa wadau wa jf na wengine tumuombee ili apate nafuu haraka
 
Mzee Bwege mbunge wa zamani wa CUF, anaumwa na amekatwa mguu kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua.

Vyombo vya habari vya Tanzania vimeripoti.

View attachment 2905898
View attachment 2905900

Natoa wito kwa wadau wa jf na wengine tumuombee ili apate nafuu haraka
Matatizo hayaondoki kwa maombi!
Ingekuwa maombi yanatoa shida, watu wangekaa tu, waombe V8, ajira, pesa, kama bakheresa,
Matatizo yanaondoka kwa, kufanya kazi, hata tukiomba, kama ni wa kufa, atakufa tu!
 
Kumuombea Mtu maana yake ni Good Wishes juu yake. Haiondoi kuwa tayari kakatwa mguu lakini kibinadamu inatia moyo na Faraja.

Just That.

Matatizo duniani hayaishi hata uwe na pes, mali na vyeo
 
Matatizo hayaondoki kwa maombi!
Ingekuwa maombi yanatoa shida, watu wangekaa tu, waombe V8, ajira, pesa, kama bakheresa,
Matatizo yanaondoka kwa, kufanya kazi, hata tukiomba, kama ni wa kufa, atakufa tu!
Kila kitu kinawezekana Kwake aaaminiye.kama huamini yeye(kristo)ni wa kiaminiwa

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
Tangu Mabere Marando, mjumbe wa kamati kuu chadema augue, chadema hawajawahi kumtembelea
 
Niishie Kusema, "We are what we eat"
tule kwa afya, tufanye mazoezi,
Afya ndio mtaji No. 1,
Pole kwa Mbunge Bwege
 
Back
Top Bottom