Tetesi: Mbunge wa Simanjiro, James Ole Millya kuhamia Chama cha Mapinduzi muda wowote kuanzia sasa

K

Katika siasa watu wanasema kwamba, kama unaona mpinzani wako anakusumbua, tumia njia ya 'accommodation', yaani unamfanya awe sehemu ya chama chako. Hivyo msipagawe, mlifanya hivyo chakadema kwa kumchukua maumvi, ziro, nyarandu. Sasa ngoma inogile kwa upande wa pili
Mwanamtoka pabaya
 
Napata kigugumizi kuzungumza kwa sababu ni kweli ni haki kikatiba kiongozi wa kisiasa kuondoka chama a na kwenda chama b. Ukakasi unakuja pale kiongozi yule yule anapoteuliwa kugombea nafasi ile ile aliyoiacha kule alipotoka :)
 
Wanunueni tu maana imebaki miezi 13 tu ya hiyo biashara kufungwa rasmi,ikishafika miezi 12 kabla ya uchaguzi mwingine hakuna kuhama,kwahiyo endeleeni na ununuzi.
Inaonekana siku hizi tunanunulika tu!
Mbowe katuharibia sana chama tangu alipokubali kununulika 2015.
Zamani chama hakikiwa hivi. Tulikuwa hatununuliki kabisa. Hata CCM wanajua.
 
Mbona wewe unajiuza na hakuna mtu wa kufika bei?
Mimi ni CHADEMA orijinal. kabla Mbowe hajauza chama kwa maccm 2015.
CHADEMA orijinal tulikuwa hatununuliki kama mnavonunulika kirahisi siku hizi, kila kukicha kuna mwanachama kanunulika, mpaka tunajiuliza hivi kama wanachama wenyewe ndo wananunulikanunulika hivi, kuna chama tena hapo?
 
Back
Top Bottom