Kangi ni mbunge pekee wa ccm mwenye sifa ya kurudi 2015, mkoa mzima wa Mara.migogoro ya ardhi iko nchi nzima, ccm imeshindwa kila kitu.
Kangi kashikwa tamaa na utajiri wa haraka.anatumia ujinga wa ndg zetu kuwaibia ardhi.kwa sasa amemuleta rafiki yake eliasi magessa kupora ardhi halali ya wazee wa namibu.hakika hatufai tena
Kangi ni mbunge pekee wa ccm mwenye sifa ya kurudi 2015, mkoa mzima wa Mara.migogoro ya ardhi iko nchi nzima, ccm imeshindwa kila kitu.
Wewe nafikiri hujitambui.
Kangi kashikwa tamaa na utajiri wa haraka.anatumia ujinga wa ndg zetu kuwaibia ardhi.kwa sasa amemuleta rafiki yake eliasi magessa kupora ardhi halali ya wazee wa namibu.hakika hatufai tena
Wabunge wa Mwibara wabishi sana! "Jimamba ninyafu sana"akidi ya mkutano wa kijiji kugawa ardhi nasikia haikuwepo! Viongozi walikula mkwanja kutoka kwa Kangi Lugola akauziwa eneo kwa laki 6 huu ni ufisadi mkubwa sana.
Habari imeletwa kwa hisani ya wanakijiji cha Kibara na Namibu! Sasa Chasimba na Mvomero kama nao wanamatatizo kama haya ni vizuri wawakilishi wao wakayaleta hapa jukwaani tujadili.
Niweke wazi hapa hakuna ugomvi wa ccm na kangi, kuna mgogoro wa ardhi kijana wa uvccm kata ya Kibara ni miongoni mwa watoto wa familia wanaomiliki sahamba hilo. Umeanza kuelewa! Kangi anatamani apore hilo shamba kakini mziki uko upande wa pili nao wametegesha rada zao!