Mbunge wa Mwibara aanza kupoteza sifa ya Ubunge

karumbeta

Huyu ndo mbunge aliyeshabikia Waziri mkuu ajiuzuru. Hayo ambayo huwa anabwabwajika Bungeni ni ya kwake Au hutumwa na wananchi wake. Hata mawasiliano jimboni kwake ni hafifu na Yeye badala ya kushughulikia matatizo ya wananchi wake anasema Utumbo utumbo Bungeni. Eti filikunjombe ndo model wake. Aibu. Ngoja muda wake umalizike aishie zake, Sijui atarudi Polisi au
 
Last edited by a moderator:
V

Hakuna mwananchi aliyemtuma kwenda bungeni kwenda kubwabwajika ni katabia kake ka kupenda sifa na kujionesha kuwa anajua zaidi kuliko wengine! Najuhakikishia wananchi wamempania hatasahau.

Alikuwa na magari yake yameandikwa " kangi bomba" anategeshea uchaguzi ayarudishe tena ili apate huruma ya wananchi maana hushusha nauli na wananchi kupindi hiki watammaliza vibaya. Arudi kwenye upolisi wake maana hana sifa ya kuwa mbunge wa mwibara tena.
 
Jimbo la mwibara likikupa ubunge jua tu kwamba ni miaka mitano basi! Na ukileta za kuleta hata mitano humalizi unapingwa mahakamani na jimbo kubaki bila mbunge. Kangi ajiandae kisaikolojia.
 
Hahahahaha!! Umenikumbusha wakati ule mtamwega na kajege walipopingana mahakamani jimbo la mwibara lilishikilia na Steven Wassira mpaka uchaguzi ulipofika hahaha!!
 
V
Huyu ndo mbunge aliyeshabikia Waziri mkuu ajiuzuru. Hayo ambayo huwa anabwabwajika Bungeni ni ya kwake Au hutumwa na wananchi wake. Hata mawasiliano jimboni kwake ni hafifu na Yeye badala ya kushughulikia matatizo ya wananchi wake anasema Utumbo utumbo Bungeni. Eti filikunjombe ndo model wake. Aibu. Ngoja muda wake umalizike aishie zake, Sijui atarudi Polisi au

Kangi Lugora anatia aibu,Filikujombe ni sawa na mtoto wake wa tatu.Kwanini Filikunjombe asiige toka kwa Kangi?
 
Tujikumbushe enzi za mwalimu haya mambo ya kupora mashamba kwa kisingizio cha uwekezaji yalikuwepo? Ni wizi mkubwa wa ardhi unafanyika siku hizi kupitia viongozi wa serikali za mitaa na wenye pesa. Sema hapana na washitakiwe wote wanaohusika ili tumuenzi Nyerere kwa vitendo
 
Nahisi Kangi Lugola anaanza kuwekewa 'mizengwe' na CCM hasiwe mBunge Mwibara...karibu upinzani Kangi, you belong to this side!
 
Mkuu hakuna mizengwe hapa! Mimi siipendi ccm mpaka nakufa! Naipenda ukawa hasa Chadema! Lakini Kangi anachokifanya nyuma ya pazia ni utoto.

Soma vizuri bandiko langu nimelifanyia tafiti kwenye field ndipo nikalibandika! Hakuna mizengwe ya kichama hata kidogo; tulia chambua tafakari then njoo tujadili utafaidi mengi. Ukitaka kujua tabia ya mtu kaa naye. Ukweli utakuweka huru karibu sana.
 
Riwa! Huyu Kangi kajichangamya mwenyewe! Unapoanza kugusa masilahi ya wapiga kura wako kama mbunge na usitafute majawabu ya kidipromasia kutatua migogoro ya ardhi umekwisha! Hakuna mwananchi wa leo hujui thamani ya ardhi hivyo mwambieni kangi amechemka.

Pamoja na harakati zake za kuikosoa serikali ya chama chake kama amekosa "inter actual skills" kwa wananchi wake na kuongeza hasira hii mbaya sana. Mbunge anaongea kwenye mkutano wa wananchi anasema; " ukitaka kumuua nyoka anapotoa kichwa usimpige kwanza subiri atoe na mkia ndipo mpige" kauli hii inatolewa na mbunge tena mbele ya kituo cha polisi kwenye mkutano kisa ardhi hili halikubaliki. Njoo kijiji cha Kibara utaamini haya na ukweli utakuweka huru.
 
Nahisi Kangi Lugola anaanza kuwekewa 'mizengwe' na CCM hasiwe mBunge Mwibara...karibu upinzani Kangi, you belong to this side!

Kama upinzani mnachukua majambazi na wauza madawa ya kulevya kama kangi nitaacha kazi nichukue fomu tupambane 2015 kupitia UKAWA!
 
Katika nchi changa kama Tanzania tukianza kuchukiana kwa kulazimisha viongozi wachafu kuchukua madaraka kwa njia ya rushwa hayo ndiyo madhara yake! Kangi alichukua ubunge wa mwibara kwa njia ya rushwa na inasemekana hata hilo eneo lenye utata alilinunua kabla ya ubunge; lakini mpaka hivi sasa nimejilidhisha Kangi anasoma upepo bado hajafanya marndeleo ndani ya eneo lao na UVCCM kata ya Kibara! Hayo ndiyo matatizo ya double standard kazi kwelikweli!
 
Yego wasu! Umeweka bayana bila kupepesa huo ndiyo ukweli! Siku zote nasema ukweli utakuweka huru! Ahsante kwa kuendelea kuchangia bandiko langu. Ufisadi ndani ya ccm hakuna msafi anaweza kujipambanua kwa sura ya ulaghai ooh napinga waziri mkuu! Napinga serikali mbili nataka 3 kumbe janja janja ili wananchi wampigie kura kutoka ukawa na zile za chama chake. Mnafiki sana!
 
Kangi ni mbunge pekee wa ccm mwenye sifa ya kurudi 2015, mkoa mzima wa Mara.migogoro ya ardhi iko nchi nzima, ccm imeshindwa kila kitu.
 
Unataka kutuaminisha kuwa; unabariki uchafu wa Kangi anaoufanya kwenye maeneo ya wapiga kura wake kwa sababu anaikosoa serikali ya chama chake! Ukiwa mtenda haki tenda kote kote!

Kinachompa Kangi sifa nje ya jimbo lake nikupinga chama chake kupora mchakato wa katiba mpya na kuifanya agenda ya matakwa ya ccm. Hapo tuko nae pamoja namuunga mkono lakini kwenye hili la ardhi hatuko nae pamoja umekosea sana!!

Kauli kama hii kutolewa na mbunge ambaye ndiye mwakilishi wa wananchi ni ujinga sana! Sikia kauli yako!
" nyoka ikitoa kichwa kwenye shimo lake usimpige kwanza; subiri atoe na mkia wake ili ujue ni cobra, chatu, au kifutu! Ndo utampiga vizuri" mwisho wa kumnukuu! Alitumia lugha ya kijita akimaanisha yule uvccm familia yao inauwezo kiasi gani kupambana naye. Je! Umemuelewa hapo mbunge anamaanisha kitu gani?
 
Katika nchi changa kama Tanzania tukianza kuchukiana kwa kulazimisha viongozi wachafu kuchukua madaraka kwa njia ya rushwa hayo ndiyo madhara yake! Kangi alichukua ubunge wa mwibara kwa njia ya rushwa na inasemekana hata hilo eneo lenye utata alilinunua kabla ya ubunge; lakini mpaka hivi sasa nimejilidhisha Kangi anasoma upepo bado hajafanya marndeleo ndani ya eneo lao na UVCCM kata ya Kibara! Hayo ndiyo matatizo ya double standard kazi kwelikweli!

Alikuwa na magari yake yameandikwa "kangi bomba" siku hizi hayapo anasubiria uchaguzi ukaribie aanzishe tena! Mimi Kangi hunidanganyi hata sikumoja.
 
Back
Top Bottom