- Thread starter
- #61
Haki inapatikana mahakamani na siyo kwenye majukwaa ya mitandao! Mwanasheria nakutakia kila la kheri!
Umenena yegowasu! Wazee sasa kulivalia junga jambo hili.wamemuita uvccm kupata suluhu kichama! Hatujui nini hatima ya kikao hicho! Macho na masikio yako kikao cha wazee ccm Kibara! Mkutano unaendelea na wajumbe wanalipuana ni baraaaaa!!