Mbunge wa Mtera (CCM) Mh Lusinde,kwanini umekimbia kijijini na sasa umejificha mjini?

Mdakuzi mkuu

JF-Expert Member
Dec 27, 2016
212
719
Salam ndugu zangu.

Wananchi wa Mtera wameanza kumlalamikia Mbunge wao (CCM) Mh Liviñgstone Lusinde kwamba kawakimbia kijijini, sasa anaishi na kujificha mjini, eneo la kisasa alikojenga nyumba yake.Mvumi,kijiji alichokuwa akiishi Mbunge huyu,sasa cha moto.Hata ile club yake aliyoifungua,kaitelekeza pia.

Sababu n kwamba watu n ombaomba wakati sasa hivi hela haipatikani, Mh Rais kabana.

Wananchi wanapata shida kumwona.Hata ofisi ya Mbunge hakai kabisa.

Wagogo mmekuwa wa ajabu kuchagua mtu kama yule.

poleni.
 
Lakin sio mbaya kama yupo humohumo dodoma, ila angekuja dar ndo tungeona kawakimbia ko wamfate hapo hapo kwake
.
.
.
Kyenekyaka mkighanile une
 
Sasa kama watu wanamuomba pesa yeye atoe wapi jamani. Kumbukeni hawa wagogo wanasifika kwa uvivu sasa lusinde mtu moja ataweza kuwapa pesa wote?
 
Back
Top Bottom