Mbunge wa Mbozi Magharibi(CHADEMA), David Ernest Silinde kuweka msimamo wake bayana hapo Kesho

Hivi kwa nini Maccm mmeamua kuandika habari za uongo kiasi kwamba nyinyi ndo mmekuwa wajinga kuzidi Vyama vya upinzani,
 
KANU ilikufa natural death na sio kwa ghiliba na hujuma mzifanyazo, chadema itaendelea kuwa taasisi imara yenye tumaini la Watanzania.
CHADEMA INASHINDWA KUWASAMINI WAFIA CHAMA CHAO
i ni kosa sana
TANGU AJE LOWASSA NA KUONDOKA KWA Dr
CHADEMA ILIPASWA KUJITASIMINI
WANAONUFAIKA NA CHAMA NI WACHACHE
 
Kuna mda unatamani usiandike wala kusema kitu lakini UNASHINDWA KABISA baada ya kuona matajiri na maskini wanalamba mchangaa
 
Huyu jamaa namkubali sana, angekuwa anatoka kaskazini, angekuwa kapewa wadhifa mkubwa sana chamani maana ana uwezo ila ndio hivyo tena. Yuko relaxed na hakurupuki. Hastahili kuwapo chadema hii ya Dj.
Kama una uhakika na unayoaamini ni sawa tu, kwani akiondoka unadhani watu milioni 5 waliokuwa wanaiunga CDM watakuwa wameisha au ndo wataendelea kuongezeka. Fikiria chama kama kanisa, the more people go the more they come in.

Sent from my HUAWEI GRA-L09 using JamiiForums mobile app
 
Mkuu Usifananishe na Kampuni Kampuni zina Perpetual Succession ila Chama/taasisi zinakufa KANU ya Kenyatta iko wapi?

Yaani Chama Kinakufa bado Unaleta Ujuaji?

Wewe pumbaf kwelikweli......?!
Hivi chama kinakufa kwa kuwahonga madiwani,Wabunge na Wanachama au chama kinakufa kwa kukosa mvuto kwa watu.....?
CCM mnalazimisha kuua upinzani kwa kutumia UBABE wa kutesa na kunyanyasa wapinzani; kutesa wapinzanii;kuzuia mikutano na maandamano!!??Kuzuia media zisionyeshe LIVE Bunge katika kuzuia upinzani usionekana kwa Watz......??
 
Back
Top Bottom