Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki Tundu Lissu akiendelea kufanya mazoezi akiwa hospital nchini Ubelgiji

[HASHTAG]#Picha[/HASHTAG] Mbunge wa Jimbo la Singida Mashariki,Mwanasheria Mkuu wa Chadema na Raisi wa TLS Tundu Lissu akiendelea kufanya mazoezi akiwa hospital nchini
Ubelgiji ambapo anaendelea na matibabu baada ya kupigwa risasi watu wasiojulikana.
Hakika Mungu ni mwema sana Tundu Lissu Mungu ana mpango mkubwa sana na yeye.
Tundu Lissu anaonekana akiwa na tabasamu nzito sijui wale watesi wanajisikiaje baada ya mpango wao kumuua kufeli.
[HASHTAG]#PRAYFOETUNDULISSU[/HASHTAG]
View attachment 674982 View attachment 674983
My future President! The people's voice!
 
wale mabwana hawapendi kuona sura ya TL ikiwa imejaa tabasamu murua huku akiendelea kuimarika siku hadi siku......
M/Mungu aendelee kumjalia apone haraka arudi kwenye majukumu yake ya kawaida.....
hii ni tunu kubwa sana kwa watanzia
 
Tukisema kuwa cdm ni nguvu ya mungu ccm wanavimba kwa hasira,lkn muangalieni huyo mtu ndiyo mtaamini
d1f2eea2b08c9e1bdb43676296b9c1ca.jpg
 
Back
Top Bottom